Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Hii ndio maana Ahmedy Ally alisema tuna ligi dhaifu

Ila ushabiki na critisim za kijinga kwa kutaka kila kitu kupinga kuonekana mjuaji ndio kumesababisha wajinga wapewe kipaumbele zaidi kwasababu ya uhodari wao wa kutumia midomo kuliko kichwa.
Game hii na ya Jana ina utofauti gani?? Ushabiki maandazi bhana.
 
Subiri uone. Atafanyia tu kazi.
Umetuma kwenye sanduku la maoni?

Afu nyie hamna ile slogan ya kila kitu ku operate bila kuingiliana?

Yani kwenu nyinyi pieere anao uwezo wa kumpangia kikosi profesa Nabi?
 
😂😂😂😂😂😂

Screenshot_20220509-200150.png
 
Game hii na ya Jana ina utofauti gani?? Ushabiki maandazi bhana.
Goli nne zimeingia kambani afu zote za husling na hakukuwa na penati mchongo afu bado unataka kufanya comparison na huu utopolo?

Mechi ya leo naiangalia kama mwana therapy naye jifunza matatizo wanayopitia wachezaji wa Yanga.

Mayele leo sijui nyumbani tembele halija chemka au hajasaga yani sielewi sababu ya msingi kukosa magoli mawili ya wazi hususani ile penati ambayo alipobutua kimo chake ni kama Missile Launcher imefyatuliwa
 
Ila Yanga bhana! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kumpa Mayele kupiga ile penati, badala ya Juma Shabani!

Ifikie wakati timu iwe serious bhana! Hakuna ulazima wa Mayele kuwa mfungaji bora! Ila kuna umuhimu kwa Yanga kupata point 3 muhimu kwenye kila mechi kuanzia sasa.
Walifuata ushauri wa Manara kwamba Mayele atetemee baada ya kufunga, ila mganga wa prizoni sio mwema kafanya yake kwa Mayele 😂😂
 
Goli nne zimeingia kambani afu zote za husling na hakukuwa na penati mchongo afu bado unataka kufanya comparison na huu utopolo?

Mechi ya leo naiangalia kama mwana therapy naye jifunza matatizo wanayopitia wachezaji wa Yanga.

Mayele leo sijui nyumbani tembele halija chemka au hajasaga yani sielewi sababu ya msingi kukosa magoli mawili ya wazi hususani ile penati ambayo alipobutua kimo chake ni kama Missile Launcher imefyatuliwa
Nahisi labda ng'ombe wake anaumwa hajauza maziwa.🤣
 
Eti hii timu ndio inajinasibu kucheza champions ligue..na huyo mviziaji wao..timu nzima inategemea mtu mmoja..si umeona hata penalti wanataka apige yeye..akiumwa je?
Wewe nawe kiazi cha Msimbazi mbona unaongea bila kufikiria? Simba imefika robo fainali kwa mastraika gani wa ajabu zaidi ya Kibu, Mugalu, Boko na Kagere na tegemezi wenu alikuwa Sakho.

Unasema Yanga inamtegemea Mayele, ina maana magoli yote ya Yanga yanefungwa na Mayele pekee?
 
Hii mechi tunashinda aseeh hapa hakijaharibika kitu
Lakini penalty djuma anaweza sana angepiga tu yeye
 
Back
Top Bottom