Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Na MBENGO ZIMEFONGOKA kuupokea mpira wa Mayele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa zimezidi ubora kwahiyo anataka kusawazishaMayele kapaza aiseee yani huwezi amini ndugu mtazamajinwa comments lakini habari ndiyo hiyo msela sijui kavaa dundo la namna gani yani yeye na kipa lakini kapaza
Eti hii timu ndio inajinasibu kucheza champions ligue..na huyo mviziaji wao..timu nzima inategemea mtu mmoja..si umeona hata penalti wanataka apige yeye..akiumwa je?Ligi dhaifu hii, eti hawa ndio mabigwa. kama ndondo
Yanga wampe chepe anaweza sawazisha hata kifusi kama magoli yameshindikanaSifa zimezidi ubora kwahiyo anataka kusawazisha
dk 15 za mwanzo walitakiwa wawe na goli hata tatuYanga anashinda hii mechi.
Daah! Sijui alikuwa anawaza wapi aisee.Ndio straika wenu huyu...😅🤭
Hahaha,,,, Yan Hadi Leo ww mzee wa furaha za mitetemo unalaumu,, kweli Leo mmeshikwa kwenye mbupu!!Ila Yanga bhana! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kumpa Mayele kupiga ile penati, badala ya Juma Shabani!
Ifikie wakati timu iwe serious bhana! Hakuna ulazima wa Mayele kuwa mfungaji bora! Ila kuna umuhimu kwa Yanga kupata point 3 muhimu kwenye kila mechi kuanzia sasa.