Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

kama timu yenyewe ndo hii uko caf itakua aibu tupu,Mungu ajaalie wasikutane tena ile mi-Rivers Utd.
 
Mna nafasi kubwa ya kushinda wakitulia hapo mbele ya lango.

Hata hivyo bora tu wawang'ang'anie mchelewe kutangaza ubingwa
Na hili hatukulipanga kabisa Mtani.

Yaani tulitaka hata kabla ya mechi kama nne hivi tuwe tuna ubingwa wetu mkononi lakini ikiwa vinginevyo hamna jinsi.

Kikubwa kuwa Champion.
 
Dah! Hii mechi benchi la ufundi wanafanya utani mpaka basi! Saido haeleweki anafanya nini uwanjani! Wapinzani wamepaki basi! Toa ingiza mshambuliaji wa kati wa kumsaidia Mayele!

Kumiliki mpira pasipo kufunga haina maana yoyote ile! Sasa tukiwakosa na hawa vibonde, tutamfunga nani!
 
Usijali mtawafunga Barkane, Al ahly na akina Mamelody huko cafcl 😂😂
 
Back
Top Bottom