Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Duh kweli uchawi upo yaani Nabi haoni kile tunachokiona sisi
 
Dakika ya 76

Mchezaji wa prisons anapewa kadi ya njano
 
78

Mayele kacgezwwa foul na yanga wanapata freekick anapiga saido lakini golikipa wa prison anakaa uzuri pale
 
Yanga ina bustowa yani freekick zingine hata hazina vichwa wala miguu
 
Dakika ya 80'

Mpira wa faulo unapigwa kuelekezwa yanga baada ya saido kushika mpira kabla ya refa kupiga filimbi
 
Back
Top Bottom