mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Sina mbavu!Ana uchovu wa mechi ya Ruvu shooting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mbavu!Ana uchovu wa mechi ya Ruvu shooting
Droo kwao ni ushindi.Dakika ya 90'
Golikipa wa prisons anapata kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
dk 5 zimeongezwaHuyu refa ametumwa huyu mbona hamalizi mpira
Mtasubiri sana.Yanga wafungwe tu sasa tujue moja
Inawatosha maana wao hawana mayele wa kuwafunguia wapate ushindiDroo kwao ni ushindi.
Mbona nyingi sana na mpira haujasimama kivile.Dakika za nyongeza 5
Daah!Kwa wasiojua lugha ya kizungu cha uingereza kaunta ataki ni KUVIZIA😂