Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

81

Yanga wanapata freekick baada ya benjamini asukile kuunawa mpira
 
Aucho kaukosa mpira baada ya beki wa prison kuukoa na kupiga kichwa nje na kusababisha kona lilikuwa shambulio hataribzaidi dhidi ya prisons
 
85'

Bado milango ni migumu kwa timu zote mbili huku yanga akizidi kushambulia zaidi
 
Pamoja na hisia za wazi za nguvu za mwanimpembe, na misumari ambayo urefu wake haijajulikana lakini nimegundua Yanga kila mchezaji anajichezea kwa jaziba bila team work na hawawezi kutumia dakika za mwisho kutengeneza mashambulizi ya hatari
 
85'

Mayele kamchezea foul mchezaji wa prisons na kusababisha freekick
 
Prisons walifanya shambulizi zuri hapa ila diara alifanikiwa kuupangua mpira na kwa bahati mbaya ikatokea physically contacts na kusababisha foul ambayo imempa faida yanga
 
Yanga wanapiga mpira ambao unapiga mashavu ya magoli
 
Mayele kajitahidi kutoa assist kwa makambo lakini makambo kashindwa kumalizia
 
Back
Top Bottom