Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Na mpira umekwishaaaa.

Haya leo NABI kaihujumu timu mbona imeshindwa kutoka na pointi 3.
 
Unaambiwa pira lililopigwa na yanga hapa kwa mkapa ni pira kubwa sana
 
Wachezaji wa Yanga walivyoingia tuliwaona wakisali, wengine walipiga ishara ya msalaba

Tunataka tuwaone hivyo hivyo na wanavyotoka
 
Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..

Yanga hamna timu pale, na CAF kama kawaida atapigwa nje ndani..

Ok pow
 
Tuwe tu wakweli, Mayele anawajibika moja kwa moja kwa haya matokeo. Hakuwa na sababu ya kukimbilia kupiga ile penati huku mpigaji wa siku zote akiwa ni Juma Shabani.

Naamini wakati mwingine atajifunza nini maana ya kuipambania timu kwanza
 
Mayele asingekuwa majeruhu hii ngoma ingeisha akiwa na hatrick
 
Back
Top Bottom