Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena waamuzi wa kibongo tu[emoji23][emoji1787]Ni waamuzi wanazigomea Dk walizoongeza Wenyewe.
Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..Leo bahasha za ghalib zimeshindwa kufanya kazi 😂
Vipi penalti ya Mayele imetua wapi? Au bado ipo angani?Na mpira umekwishaaaa.
Haya leo NABI kaihujumu timu mbona imeshindwa kutoka na pointi 3.
Tulikuwa tunasema hawa jamaa walikuwa wakinunua mechi na marefa pia. Sasahivi timu ambazo ziko na hatihati ya kushuka daraja hawakubali kuuza ndio maana unaona wanashindwa kuwafunga..
Yanga hamna timu pale, na CAF kama kawaida atapigwa nje ndani..
Nimepoteza jumla 185,000 kwa Yanga pekee mechi 2 mfululizoLeo bahasha za ghalib zimeshindwa kufanya kazi [emoji23]