Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

1618077970037.png
 
NASEMA HIVIII REFAAAA AMALIZIWE FUNGU LILILOBAKI KAJITAHIDI SANA KUWAMINYA NA KU WA FRUSTRATE KMC HUKU AKIWATAFUTIA KINA NCHIMBi MAGOALS IMESHINDIKANA, MALIZIENI HELA YAKE....ADVANCE MLIMPA NDIYO ILA FANYENI USTAARABU WA KUMALIZA KIASI KILICHOBAKI
 
Naongea kama mwanayanga, tunahitaji kuijenga timu kwa next season hii haitufikishi popote tuangalie ni wachezaji gani tutabaki nao na wapi tuwapige chini, tutengeneze timi ya mashindano ya kimataifa
 
Hivi ni kwa nini mashabiki wa Yanga hatuanzishagi nyuzi Timu yetu inapocheza ili tulio mbali na Radio na TV tutumie jukwaa hili kufuatilia Timu yetu!
Kwa nini tusubiri Hawa jamaa wa Champions League ya kibahatisha ndio watuanzishie !
By the way hivi kile kisomo Al BADRI kwa wabaya wetu ni lini ili tuwanyooshe!!
Ubahili mpaka kwenye kuanzisha nyuzi
 
Hivi ni kwa nini mashabiki wa Yanga hatuanzishagi nyuzi Timu yetu inapocheza ili tulio mbali na Radio na TV tutumie jukwaa hili kufuatilia Timu yetu!
Kwa nini tusubiri Hawa jamaa wa Champions League ya kibahatisha ndio watuanzishie !
By the way hivi kile kisomo Al BADRI kwa wabaya wetu ni lini ili tuwanyooshe!!
Huwa wanakimbilia kuanzisha nyuzi za mechi za simba ila zao wanakimbia
 
Back
Top Bottom