Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

Mechi saa ngapi wakuu?
 
Shime tabora United azizi k asifunge 😅😅 pia msiruhusu kufungwa goli nyingi sanaa
 
Mwali ameshawasili lupaso kwa chopa
 

Attachments

  • 20240525_151256.jpg
    414.2 KB · Views: 2
Kikosi cha Yanga
 

Attachments

  • 20240525_154319.jpg
    550.4 KB · Views: 2
Timu zote zimeshaingia uwanjani kupasha misuli kabla yakuanza kwa kipute hiki
 
Yanga team nzuri sana kitu imekosa ni mashabiki
Sijawahi ona mashabiki wanaodeka duniani kama Yanga imagine hadi Sasa tiketi za 1000 sio sold out
Mi ni Yanga ila mashabiki wa Yanga Wana la kujifunza sana kwa Simba
Yanga ina wapiga kelele wazuri sana ila sio supporters. Kwenye support Simba wametuacha mbali sana sisi tunaweza midomo.
 
Sawa..💚💛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…