Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Sisi Makolo tulisema hapa! Haiwezekani GSM wawe viongozi wa Yanga halafu hapo hapo wadhamini Ligi!! Si mnaona Dom Jiji kwa makusudi wanawafungia Yanga goli la 3. Hakuna Fair Competition!
 
Tayari ushaanza kutokwa povu.Tulieni Wanaume wakavuje jasho kuwatengenezeeni tena mbeleko Kima Taifa
Nani atoke povu kwani uongo misimu mitatu viporo mnatengenezewa nyie na TFF yenu, ili baadae mpate kuvinunua vizuri hivyo viporo. Hapa ndio ngoma inayeya soma ubao.....
 
Nani atoke povu kwani uongo misimu mitatu viporo mnatengenezewa nyie na TFF yenu, ili baadae mpate kuvinunua vizuri hivyo viporo.Hapa ndio ngoma inayeya soma ubao.....

Wewe tokwa povu tu, mwisho wa msimu ndiyo utajua haujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…