Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Anachezewa faul anuary jabil inakua ni free kick kuelekea yanga
 
mtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.
Wanayanga hatuna ushirikiano sijajua kwanini nimebakia peke yangu hapa na wadau wa simba wakati hii ni shuhuli yetu kabisa
 
24’ Inapigwa Free kick Kwenda Yanga na Kipa Anaidaka Vyema
 
25’ Emmanuel Anashindwa Kwenda na Kasi ya Mpira na Mpira unatoka nje
 
Mechi haina mvuto kabisa labda tungoje akisha chapika mtu.
 
26’ Emmanuel Joseph Martin Anagongwa na Mustapha hapa anaenda Chini
 
Dodoma wanaupoteza mpira wameunasa yanga
 
Yanga wanapata kona, saidooo kaipiga lakini mayele kapiga kichwa na kuutoa mpira nje ya lango
 
28’ Yanga wanapiga Mpira nje ya lango inakuwa ni free kick
 
30’ Emmanuel Josph Martin Anamcheza Faulo Saido karibu na 18, Saido anapiga Free kick kipa Anaidaka
 
Mayeleeee....cheza vizuri mlinda mlango hussein masalanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…