Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yassin mustapha yupo chini, akiugulia maumivu ya bega, lakini ni kama hakuguswa .
 
Kwahiyo dodoma jiji ndio wanaoandaa mazingira kwa kusukuma wachezaji wa Yanga na kuzibia njia Mayele? Refa yupo sahihi faulo anaziona kote kote
Kunywa mirinda nyeusi hapo halafu usirudishe chupa.


No stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…