Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Naam mpira ni mapumziko, yanga 1 Dodoma Jiji 0 .. bao la predator fiston kalala mayele
 
Niliwaambia huyu jamaa ni extra ordinary, amefunga goli gumu mno.
kwenye kikao si mlikubaliana kuwa hakuna mshabiki yeyote wa Simba kumsifia Mayele. Anatakiwa apondwe na kumsifu Kibu Denis tu
 
Yanga wamedominate mpira kwa 80% na Dodoma jiji kwa 20%
 
Kunywa mirinda nyeusi hapo halafu usirudishe chupa.


No stress
Duh ndio tumefikia hatua ya mtu kutoa oda za chupa za mirinda nyeusi kwa soda wanazokunywa wenzao. Sawa mkuu nakuwekea chupa ukitoka kwenye mishe zako nitakuelekeza uje uchukue wapi hiyo chupa
 
Clear offside
Kama mnavyonijua mimi ni mwana yanga damu ila kwenye swala la taarifa za uhakika nakukubali mkuu, sina doubt katika hilo, leo sijaangalia mpira naskiliza audio tu mambo mengi naya miss

Ila kama hali iko hivyo inabidi tujitafakari sana wana yanga
 
Pole sana angalia Azam wanalichumbua goli kwa replay. Aliyekuwa mbele ni mpiga cross na wayele hakuwa mbele zaidi ya mpira cross. Goli halali kabisa
Sema ukishaona goli limefungwa halafu wachambuzi wakaliundia tume kujadili kama la halali au la mchongo hua haileti tafsiri nzuri, mpaka hapo kunafanya hilo goli liwe na mashaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…