Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Wana yanga tujifunze kupokea mawazo tofauti tofauti

1640974615187.png
 
Walishawahi kuongoza kwa point 12 lakini mwisho wa msimu sote tunajua kilichotokea.Hatuna pressure kabisa,tunawaza kwanza jinsi gani tutatinga robo fainali ya CC,Team kubwa huwa inawaza mambo makubwa tu .
Point 12 zipi mkuu hebu fafanua.
 
Mauzo ya jezi ya Ajibu huko Azam yamevunja rekodi. Hii ni kwa kujibu wa afisa anayesimamia mauzo wa Azam. Sijui ni mashabiki wa timu gani wameamua jezi hizo kuelekea dabi kati ya Simba na Azam
 
Back
Top Bottom