joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Viporo FC wanaumia,so msimu huu mnabidi muandae fungu kubwa la kuvinunua viporo kuliko la misimu mingine iliyopita.Sisi msimu huu hatupoi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya wananchi. Ifike mahali GSM wapewe na nchi waiongozeThis is Yangaa
Hizi ni jezi ambazo zilidoda msimu uliopita wanazigawa kwa kujifanya wana show love, kama ni hivyo wangegawa za msimu huu basi [emoji23].
Wapewe Barbara tu anatosha sanaTimu ya wananchi. Ifike mahali GSM wapewe na nchi waiongoze
Tuwaachie barbara wao maana ndio kombe laoWapewe Barbara tu anatosha sana
Point 12 zipi mkuu hebu fafanua.Walishawahi kuongoza kwa point 12 lakini mwisho wa msimu sote tunajua kilichotokea.Hatuna pressure kabisa,tunawaza kwanza jinsi gani tutatinga robo fainali ya CC,Team kubwa huwa inawaza mambo makubwa tu .
Wewe ni shabiki wa mpira sasa👊 kwenye ukweli tusiume manenotukiacha unazi kipindi hiki UTO mpo njema.
Kwani mo hakuwafadhili namungo mwaka jana? au umeanza kufuatilia mpira leoUshindi wa YANGA mwaka huu ungekuwa na TASTE kama GSM asingekuwa mfadhili wa LIGI..
Lakini mbona sis mashabiki wa Dodoma jiji tumekubaliana na haya matokeo?Kafungwa Dodoma jiji ila wanaoteseka ni Makolo a.k.a mbumbumbu fc
Draw. Trust me.
Draw. Trust me.