Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

Acha upumbavu mtoa mada, unajua thamani ya mke? unamfananisha mwanamke kama kitu na sio mtu? kwanini usijitoe ww mwenyewe kwa madume yakakuchakaza, hivi ungekuja kusikia siku moja baba yako alimbetia mama yako kwa upumbavu wa hivi ungemfikiliaje, uwe na heshima kwa wanawake. Alaaaa.
Huyu jamaa nimemshangaa sana kwakweli ubinadamu umeisha kabisa.
 
BeautyPlus_20230516082939356_save.jpg

Huyu hapo
 
Mke wako mwenyewe ndo yule ninaemjua mwenye sura mbaya vile?
Watu mnavumilia mengi
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Yanga Iombewe Ushindi Lakini Lazima Icheze Kwa Mbinu Na Mipango
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Ningekuwa mwana Uto leo ningekabidhiwa mke mwenye Asili ya Rwanda.
Kwanza mkeo ana umri Gani?
 
Back
Top Bottom