MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Ndugu tisiwadhalilishe, Mama, Wake, Dada zetu kwaajili ya mpira sio ustaarabu kabisa, kumweka dhamana hiyvyo.Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu tisiwadhalilishe, Mama, Wake, Dada zetu kwaajili ya mpira sio ustaarabu kabisa, kumweka dhamana hiyvyo.Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Huyu jamaa nimemshangaa sana kwakweli ubinadamu umeisha kabisa.Acha upumbavu mtoa mada, unajua thamani ya mke? unamfananisha mwanamke kama kitu na sio mtu? kwanini usijitoe ww mwenyewe kwa madume yakakuchakaza, hivi ungekuja kusikia siku moja baba yako alimbetia mama yako kwa upumbavu wa hivi ungemfikiliaje, uwe na heshima kwa wanawake. Alaaaa.
Ukute amekomaa kama bibi kizee, kalio pasi ya umeme, tumbo kama mjamzito miezi 9.Weka picha ya huyo mlimbwende
Umeambiwa ni mrembo sasa picha nini, au hujui mrembo alivyo?Weka picha ya huyo mlimbwende
Director General wa ovyo na wewe umekuja huku ili upatiwe mke wa mtoa mada?Kwahiyo umetafuta namna ya kumpa talaka, ukaona iwe hii..!!!
Labda umesahau....yanga haendi kutafuta ushindi kule...anaenda kulinda ushindi wake wa awali.Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Ata zuwena nae ni mrembo!!Umeambiwa ni mrembo sasa picha nini, au hujui mrembo alivyo?
Unaweza kuta ata pis hana.Ukute amekomaa kama bibi kizee, kalio pasi ya umeme, tumbo kama mjamzito miezi 9.
Uko wap tuangalie mpira pamoja na mkeo pembeni yetu tushushie na konyagi kidogoDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Mke wako sio bidhaa wala si mtumwa wako ukitaka weka dhamana makalio yako.Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Duh noma mwamba ana mavi yake😂😂Nani achukue hayo mavi unayoishi nayo?