Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Kibongo bongo ipo hivyo majina ya kike yapo na ya kiume yapo. Hivi leo hii mtoto wako kiume aanze kujiita Samira utamfanyaje ?Duniani hakuna majina ya kike wala ya kiume.Toka nje ya boksi.Uliwahi kuona jina lina uume au uke fizikale?