Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Unahoja dhaifu sana mzee wa kazi na ndio maana hao sio wakongo.Mkongo aliye sajiliwa simba mbona kaitwa hao wa yang wako 6 mbona hajaitwa hata Moja?

View attachment 1964889
Tembelea Tovuti (Website) rasmi ya timu ya Taifa ya Congo ili kuona orodha ya wachezaji walio itwa kwenye timu ya Taifa.

Link Hii Hapa Chini:-

Katika hii orodha Hakuna Jina la Henock Inonga. "MMEDANGANYWA".
 
Au mkuu demigod kama vipi nenda now kule Instagram kwenye page yao rasmi ya Dr Congo national team inaitwa Leopardsfoot.

Umletee huyu Scars hizo screenshot hapa ili aone kama yeye ni Mbumbumbu sio kwa kuonewa ila ni kwa laana ya Ismail Aden Rage
Achana nae ukimetea screen shot atasema nimezi-edit.
 
Enock huyo hapo kaitwa
Ukiwa na akili utajiongeza.

Akili za kuambiwa changanya na zako!

Wachezaj wanao anza hapo n wawili tu
Usije ukaanza kusema Beki mmoja anawekwa benchi na Kennedy Juma..

Nitacheka ki*****nge yaani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ebu ngoja hapo hapo pa aucho, huyo kibopa amepaishwa sana humu na ana record mbaya sana huko national team. Na hata angepata nafasi basi angeenda kuandika record mbovu nyingine

Na wala sio mara yake ya kwanza kua excluded kwenye squad
Hivi unatambua kuwa Aucho na rekodi zake mbaya amevalishwa gamba la Ukapteni na Kocha Michu.

Hivi unatambua kuwa Aucho ndiye anaye muweka benchi yule mchezaji wenu anaye cheza rafu rafu ovyo?
 
Mbona Simba inajitapa kuwa ni timu kubwa Afrika wakat hata nusu fainali ya michuano ya Klabu bingwa haijawah fuzu?
Ile na Stella Abidjan ilikua mashindano ya Europe?[emoji16][emoji16]
 
hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,

but wait.. i got a genuine list, can you spot any simba player in this list?
 
Au mkuu demigod kama vipi nenda now kule Instagram kwenye page yao rasmi ya Dr Congo national team inaitwa Leopardsfoot.

Umletee huyu Scars hizo screenshot hapa ili aone kama yeye ni Mbumbumbu sio kwa kuonewa ila ni kwa laana ya Ismail Aden Rage
Screenshot nishazipata, hizi hapa
 
hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,

but wait.. i got a genuine list, can you spot any simba player in this list?
View attachment 1965637
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

1. Sasa kama ameitwa timu ya Taifa Mbona Jina lake halipo kati ya majina 23 ya walioitwa katika tovuti (website) rasmi ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini Congo. ( MONDIAL 2022/RDC – MADAGASCAR : VINGT-TROIS JOUEURS DANS LA TANIERE DES LEOPARDS | FΓ©dΓ©ration Congolaise de Football Association - Site Officiel)

2. Sasa mbona (Henock Inonga) anaonekana akiwa mazoezini Bunju tena ushahidi huu hapa chini unaonyesha kuwa ni jana tu tarehe 5 kupitia ukurasa rasmi wa Azam TV? (link:- )

Au nao Azam TV wameedit Picha?
 
hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,

but wait.. i got a genuine list, can you spot any simba player in this list?
View attachment 1965637
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Eti genuine list..... Sina uhakika kama unamfahamu JORDAN IKOKO anayekipiga nchini Bulgaria katika klabu ya Ludogoret Razgrad.
 
Tatizo mkuu Scars anajilisha matango pori sana

Nenda Leopardsfoot kule Instagram ukaone current squad news

Naamini wewe ni msomi na hivi vitu tuendenavyo kisomi zaidi
 
Ahaa sawa mkuu na vipi umepita katika Page yao Congo drc national team
Uko awezi kupitia, na hata kama amepitia hawezi kutumia ukurasa rasmi wa shirikisho la mpira wa Congo kwa sababu ameona Jina huko halipo.

Azam TV wameposti picha iliyopigwa jana tarehe 5 ikionyesha Inonga anafanya mazoezi na wachezaji wasio itwa national team.

( )
 
Tatizo mkuu Scars anajilisha matango pori sana

Nenda Leopardsfoot kule Instagram ukaone current squad news

Naamini wewe ni msomi na hivi vitu tuendenavyo kisomi zaidi
Unanirudisha IG hujui huko nimeshinda masaa 10 huko natafuta habari hiyo mpaka macho yananiuma hakuna chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…