mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
tuliwaachia kulinda kibarua cha HAji na NAbiSi ndio Kama MAYELE?
AU umesahau alichomfanya MANULA pale Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliwaachia kulinda kibarua cha HAji na NAbiSi ndio Kama MAYELE?
AU umesahau alichomfanya MANULA pale Taifa.
Tembelea Tovuti (Website) rasmi ya timu ya Taifa ya Congo ili kuona orodha ya wachezaji walio itwa kwenye timu ya Taifa.Unahoja dhaifu sana mzee wa kazi na ndio maana hao sio wakongo.Mkongo aliye sajiliwa simba mbona kaitwa hao wa yang wako 6 mbona hajaitwa hata Moja?
View attachment 1964889
Ukiwa na akili utajiongeza.Enock huyo hapo kaitwa
Hivi unatambua kuwa Aucho na rekodi zake mbaya amevalishwa gamba la Ukapteni na Kocha Michu.Ebu ngoja hapo hapo pa aucho, huyo kibopa amepaishwa sana humu na ana record mbaya sana huko national team. Na hata angepata nafasi basi angeenda kuandika record mbovu nyingine
Na wala sio mara yake ya kwanza kua excluded kwenye squad
Ile na Stella Abidjan ilikua mashindano ya Europe?[emoji16][emoji16]Mbona Simba inajitapa kuwa ni timu kubwa Afrika wakat hata nusu fainali ya michuano ya Klabu bingwa haijawah fuzu?
hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,Alisema nimletee orodha rasmi, nikaleta - akasema macho yake mabovu hayaoni vizuri.
Nikamletea picha orodha rasmi yenye maandishi makubwa - akasema nime Edit.
Nikamletea link ya ukurasa rasmi wa shirikisho la mpira wa miguu kongo ambayo inampeleka moja kwa moja kwenye kikosi cha wachezaji watakao wavaa madagascar - akasema ukurasa umeandikwa kifaransa yeye hawezi kusoma na kuelewa. (View attachment 1965515
😂 😂 😂 😂
Ww unaonaje?Ronaldo De Lima wala sio mchezaji mkubwa duniani kuliko N'Golo Kante. Kwa sababu Ronaldo De Lima hajawahi kushinda UEFA Champions League.
ASIAIle na Stella Abidjan ilikua mashindano ya Europe?[emoji16][emoji16]
Ahaa sawa mkuu na vipi umepita katika Page yao Congo drc national teamScreenshot nishazipata, hizi hapa
View attachment 1965654
Hahahaha 😂 😂 😂 😂hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,
but wait.. i got a genuine list, can you spot any simba player in this list?
View attachment 1965637
😂 😂 😂 😂hapana sikusema ume edit, ulininukuu vibaya,
but wait.. i got a genuine list, can you spot any simba player in this list?
View attachment 1965637
Uko awezi kupitia, na hata kama amepitia hawezi kutumia ukurasa rasmi wa shirikisho la mpira wa Congo kwa sababu ameona Jina huko halipo.Ahaa sawa mkuu na vipi umepita katika Page yao Congo drc national team
Yap, nimepita mkuu unataka nikupe screenshot ya nilicho kiona?Ahaa sawa mkuu na vipi umepita katika Page yao Congo drc national team
Unanirudisha IG hujui huko nimeshinda masaa 10 huko natafuta habari hiyo mpaka macho yananiuma hakuna chochoteTatizo mkuu Scars anajilisha matango pori sana
Nenda Leopardsfoot kule Instagram ukaone current squad news
Naamini wewe ni msomi na hivi vitu tuendenavyo kisomi zaidi