GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.
Halafu tukisema kuwa Yanga SC na GSM yao wameshatoka katika upuuzi na wamejipanga kweli kimashindano na wanaenda kuwa Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 mnanitukana na kukimbilia kusema mimi GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC na siyo mwana Simba SC.
Tukutane mwisho wa ligi kuisha, ok?