CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
We huoni Yanga imeimprove ukilinganisha na Simba? Hata ukiangalia takwimu utaona Yanga imefanya Sajili za maana ukilinganisha na Simba kaka.Mimi sio kama kuhitaji la malumbano hapa..Nimeuliza ni hatua zipi walizopiga yanga mbovu na GSM kama mfadhili wao hadi kufikia hapo waliposasa kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita zaidi ya hapo...Sema kama huyu bwege mwenzio amekuajiri kama special assistant wake, Kwa maana hadi kumjibia mtu ni kazi now days[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga pamoja na kuwa na mshambuliaji hatari lkn wameona waongeze nwingine ili kama itatokea majeraha kwa mmoja basi mmoja ataisaidia, hali hiyo iko kwenye kila namba kwa ile timu.