Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Bor
Yanga imeimprove na ni bingwa wa Tanzania lakini anacheza confederation Cup,Simba siyo Bingwa na haja improve lakini anacheza CL,si bora sasa kuto improve kama scenario yenyewe ndiyo hii.
Bora umwambie huyo asiyejitambua,Shida moja Uto kumuotea otea Simba basi wanajiona timu Yao ni Kali,kumbe mashindano ya Afrika yamewaumbua.
 
Kumekucha, chizi katoroka tena Mirembe
Nilipigwa BAN ya Siku 14 kwa Kumuambia / Kumuita Mru Mpumbavu ( Popoma ), ila Nakupongeza Mwenzangu kwa Kuniita Chizi kutoka Mirembe na wala hujala BAN na huenda hata ukawa Umewafurahisha na hao hao Watoa BAN Kwangu.

Na hapa wala hutoona Watu Wakijitokeza Kukulaumu au Kukuonya au hata Kukusema vibaya ila GENTAMYCINE nikikujibu tu kwa aina yangu utawana 'Visokolokwinyo' wa JamiiForums wanajitokeza Kunilaumu na muda mfupi tu BAN inanifuata.

Ngoja nijilazimishe kuwa Mvumilivu JF.
 
Yanga imeimprove na ni bingwa wa Tanzania lakini anacheza confederation Cup,Simba siyo Bingwa na haja improve lakini anacheza CL,si bora sasa kuto improve kama scenario yenyewe ndiyo hii.
CHELSEA alishinda UEFA mbele ya TIMU BORA KABISA, BAYERN 2012 na MAN CITY MWAKA 2021.
Hapo unataka kusema nini? Timu bora haifungwi? Kwako wewe kama ingekuwa Simba na Yanga wamepangwa wakutane mtoano ili mmoja aende makundi unahisi nani angepewa nafasi ya kusonga mbele?

Hata hivyo njia za kufikia makundi ni tofauti, huwezi sema huyu ameshindwa na huyu ameshinda kwa kulinganisha game 2, na wapinzani tofauti.
 
usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
 
Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.

Halafu tukisema kuwa Yanga SC na GSM yao wameshatoka katika upuuzi na wamejipanga kweli kimashindano na wanaenda kuwa Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 mnanitukana na kukimbilia kusema mimi GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC na siyo mwana Simba SC.

Tukutane mwisho wa ligi kuisha, ok?
Mimi naomba tu kuchukua nafasi hii adimu, kukukaribisha rasmi jukwaani, na pia kukutakia Heri ya Mwaka Mpya , 2023!
 
usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
Mkuu embu tuambiae Yanga inashindaje
 
Nilipigwa BAN ya Siku 14 kwa Kumuambia / Kumuita Mru Mpumbavu ( Popoma ), ila Nakupongeza Mwenzangu kwa Kuniita Chizi kutoka Mirembe na wala hujala BAN na huenda hata ukawa Umewafurahisha na hao hao Watoa BAN Kwangu.

Na hapa wala hutoona Watu Wakijitokeza Kukulaumu au Kukuonya au hata Kukusema vibaya ila GENTAMYCINE nikikujibu tu kwa aina yangu utawana 'Visokolokwinyo' wa JamiiForums wanajitokeza Kunilaumu na muda mfupi tu BAN inanifuata.

Ngoja nijilazimishe kuwa Mvumilivu JF.
Jitahidi sasa huu mwaka upite bila ya kupigwa BAN. Mimi bro ako, nitajitahidi kukutetea kwa Mods. Muhimu tu kwako, utumie ile formula ya kwenye Biblia; ya mtu akikupiga shavu la kushoto, mgeuzie na lile la kulia.
 
usitake tu kulazisha ubora YANGA HAINA UBORA WOWOTE HAPA AFRIKA,na hiyo ndio ukweli,hapa tz inajulikana Yanga inashindaje
We jamaa unaumwa nisikilize Mimi nakushauri Kitu kizuri nenda kapime akili serious.

Club Africa tumeifunga kwao hukuona? Simba tumewapiga mara elfu huoni unauliza swali la Mtoto mdogo wa chekechea Huku una midevu umejaa uvivu kwenda saluni!!

Young Africa ya Nabi inacheza possession football hiyo ndio Siri ya ushindi.
 
kwa masifa yote unayojidanganya haya tuje kwenye uhalisia,UTO WAKO wapi na SIMBA IPO WAPI?Tuje kwenye maandalizi ya timu kwaajili ya mashindano ya kimataifa utaona tofauti!SIMBA HII KUBWA
 
We jamaa unaumwa nisikilize Mimi nakushauri Kitu kizuri nenda kapime akili serious.

Club Africa tumeifunga kwao hukuona? Simba tumewapiga mara elfu huoni unauliza swali la Mtoto mdogo wa chekechea Huku una midevu umejaa uvivu kwenda saluni!!

Young Africa ya Nabi inacheza possession football hiyo ndio Siri ya ushindi.
Uto ni timu ya kawaida tu takwimu ziko wazi. Hakuna timu ya maana ingetolewa na wale Al hilal.Kwenye group lenu la shirikisho uto ndio underdog huo ndio ukweli. Mnachojivunia hakipo maana ubingwa wa NBC sio ubingwa wa kukupa ukubwa barani Afrika.
 
Taja wachezaji waliosajiliwa kuanzia msimu ulioisha 2021-2022 na 2022-2023 orodhesha wachezaji wangapi wa yanga wamefanya vizuri na uorodheshe wa simba waliosajiliwa na wakafanya vizuri ili tupate takwimu sahihi ya nani alisajili vizuri na nani aliangukia pua
Wewe ndio unitajie wa yanga nikuonyeshe magarasa kuanzia kina sarpong Hadi kina balinya
 
tofauti na yanga wanaojitafuta kwenye sajili zao hazina dau kubwa la kuumiza benki yao
Unaongea nini wewe?!

Yanga ndo inaongoza kwa kutumia gharama kubwa kusajili na kulipa mshahara mkubwa. Azizi Ki tulimnunua kwa kuvunja mkataba na kuilipa klabu yake ya zamani ya ASEC Mimosas. Tulimnunua kwa Tshs. milioni 480, na tunamlipa mshahara wa Tshs. milioni 27 kwa mwezi. Ndo mchezaji wa gharama kuliko wachezaji wote waliopata kusajiliwa na vilabu vya Afrika Mashariki. Na ndo mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote waliopata kucheza Afrika Mashariki.

Kutokana na Kikwete kurudi madarakani, na wenye roho mbaya kuondoka madarakani, Yanga sasa hivi iko vizuri sana kiuchumi. Ndo kilabu inayoongoza kwa ukwasi nchini Tanzania. Kabla hujataja Azam FC, kumbuka kuwa utajiri wa Bakhressa Group sio wote unatumika kwa ajili ya Azam FC. Na usiulize kwanini Yanga ndo inaongoza kwa ukwasi... we jua tu kwamba Dr. Kikwete amerudi madarakani, Dr. Mwigulu ndo waziri wa fedha, na Dr. Mpango ndo makamu wa Rais. Hao wote ni wanaYanga wa kindakindaki. Hata Mama nasikia ni mwananchi pia. Ila tofauti yetu na wale walioondoka madarakani ni kwamba sisi hatuikandamizi Simba kiuchumi. Tunawaacha mpambane na hali yenu.

Kuhusu kupenda kitonga nyinyi Simba ndo wapenda kitonga. Hamjawahi kuvunja mkataba hata mmoja wa mchezaji kutoka klabu ya maana. Huwa mnasubiri mkono uanguke muuokote. Hela hamna za kufanya kufuru kama tuliyofanya ya kumsajili Aziz Ki.
 
Asa kaka unataka kila dirisha timu ichukue lundo LA wachezaji?...tumeingiza jina moja tu LA saidoo balaa umeliona, simba inasajili kwa mahitaji siyo kukurupuka tu kila unayemuona unamchukua kama CHELSEA me niulize tu usajili wa MUDATHIRI pale yanga was it planned? Au kwa kuwa alikuwepo tu watu wakatembea nae??
 
Back
Top Bottom