Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Nilipigwa BAN ya Siku 14 kwa Kumuambia / Kumuita Mru Mpumbavu ( Popoma ), ila Nakupongeza Mwenzangu kwa Kuniita Chizi kutoka Mirembe na wala hujala BAN na huenda hata ukawa Umewafurahisha na hao hao Watoa BAN Kwangu.

Na hapa wala hutoona Watu Wakijitokeza Kukulaumu au Kukuonya au hata Kukusema vibaya ila GENTAMYCINE nikikujibu tu kwa aina yangu utawana 'Visokolokwinyo' wa JamiiForums wanajitokeza Kunilaumu na muda mfupi tu BAN inanifuata.

Ngoja nijilazimishe kuwa Mvumilivu JF.
Endelea kujishikilia kabla sijakurudisha lupango mzee
 
Ni vile watu wananisihi PM nisikirudishe jela dk hii ungekuwa UKONGA
Sijawahi kuogopa BAN na Sitishiki nazo hata kidogo sawa?

Na ulivyo Mnafiki kila mara Unahubiri kutonipenda na Kunichukia hapa JamiiForums ila Juzi nimeona nawe Umenifolo na Kuniongezea idadi ya Followers wangu hapa JamiiForums.

Sasa nakuwaje mbaya Kwako halafu hapo hapo tena 'Unanifolo' GENTAMYCINE Mimi?

Na ndiyo maana nakuambia Wewe ni Mpuuzi ( Hopeless ) halafu unakimbilia kusema Nakutukana na kunitishia kunipa BAN ambayo sijui Mwendawazimu gani Kawadanganyeni kuwa nikiwa BANNED huwa Sili, Sistarehe, siingizi Kipato ( Fedha ) za Kuendeshea Maisha yangu na sipati Usingizi.
 
Nimekufolo ili kukuokoa.Nipo duniani kwa ajili ya kutoa elimu kwa watu kama wewe unayejifanya msomi kwenye hamna
 
Nimekufolo ili kukuokoa.Nipo duniani kwa ajili ya kutoa elimu kwa watu kama wewe unayejifanya msomi kwenye hamna
Unajisikiaje Kushoboka / Kujipendekeza Kumfolo Mtu ( GENTAMYCINE ) ambaye hakupendi na hata hana muda nawe kwakuwa huna unachomzidi kikiwemo Akili ambazo bahati mbaya huna?
 
Unajisikiaje Kushoboka / Kujipendekeza Kumfolo Mtu ( GENTAMYCINE ) ambaye hakupendi na hata hana muda nawe kwakuwa huna unachomzidi kikiwemo Akili ambazo bahati mbaya huna?
Ndo nini umeandika hapa.
 
Sewakubwa ndio usajili aliosema bwana jaribu tena kuwa utasimamisha nchi🤣🤣 Waulize wamemsajili kwa bei gani wakikujibu nirudie, na bado mwingine Mkongo na yeye mmepewa bure kwa mkopo, kwa akili tu za kawaida akunatimu itakupa mchezaji wake mzuri kwa mkopo ukiona ivyo ujue hilo ni galasa wanatafuta namna ya kuachana nae kijanja asije kuwagharimu kwenye masuala ya kuvunja mikataba, Sasa timu inayojinasibu ni kubwa na inautaka ubingwa wa afrika ndio inakuwa dampo la wachezaji wa aina iyo inachekesha kweli, Yanga iliwagharimu kwa kambole, kisinda, bigirimana awawezi kurudia upuuzi huo ndio maana wanavunja mikataba ya wachezaji wanaowataka na kuwashusha jangwani, Uyo musonda ni mtu na nusu, bado beki la kati timu ya taifa ya Mali inayocheza CHAN kwa sasa na nahodha pia yuko njiani ndio maana ya timu inayotaka mafanikio na sio kuokota reject za bure alafu unataka utoboe ni ngumu labda ufanye kama unabet mchezo wa kubahatisha
Weka akiba ya maneno. Uzuri au ubaya wa mchezaji unategemea mazingira ya timu.
 
Back
Top Bottom