Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

huyo wa congo nani? Kama ni makusu deal inaenda kufa, kama ni baleke ongezeni mzigo
Mtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.
 
subiri muda ufike
 
Sasa hujasoma umejuaje kama ni uongo?

Kusema hujasoma tafsiri yake ni kwamba hujapenda ambacho umekisoma. Lakini ukweli ndo huo. Ndo maana hata Manara wa Yanga ni tofauti sana na Manara wa Simba. Manara wa Yanga anaendesha gari kama za Ikulu. Manara wa Simba alikuwa anaendesha gari za mitumba.

Ni ukweli ambao huhitaji kuhangaika saaaana kuuona.
Rubbish 🚮🚮🚮🚮
 
Mtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.
hahahaha
 
Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu.

Halafu tukisema kuwa Yanga SC na GSM yao wameshatoka katika upuuzi na wamejipanga kweli kimashindano na wanaenda kuwa Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu wa 2022 / 2023 mnanitukana na kukimbilia kusema mimi GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC na siyo mwana Simba SC.

Tukutane mwisho wa ligi kuisha, ok?
Hamia Yanga uje ufurahi. Maana naona unapata sana shida na Simba yako. Njoo rasmi usiwe unajikombakomba kwa pembeni. Kwa sasa tumeanza kusajili mashabiki kutoka Simba na Azam. Njoo nyumbani kumenoga.
 
Wewe kilaza yani huwa unanishangaza sana! Naona unajiuliza halafu unajijibu mwenyewe...Embu sema hiyo hatua waliopiga GSM na yanga mbovu ni ipi acha kujiongelesha kama mwehu au unamaruhani kichwani nini...Kiazi wewe🤣🤣🤣
Miaka 60 means uwezo wa kiakili unashuka busara inaongezeka
 
nilikuambia usajili ni baleke na alitaka dau kubwa, na sio makusu
Ha ha ha,jinsi ulivyoiweka ile comment ilikuwa kama haiwezekani kwa Simba kumsajili Baleke,dau limeongezwa sasa na Baleke ndiyo huyo hapo.Tuendelee na maisha mengine.
 
Ha ha ha,jinsi ulivyoiweka ile comment ilikuwa kama haiwezekani kwa Simba kumsajili Baleke,dau limeongezwa sasa na Baleke ndiyo huyo hapo.Tuendelee na maisha mengine.
sio kweli ulielewa vby,usajili wa baleke naujua walikwama wapi na wamesolve vp

Kwanza una kadi ya uanachama simba,leo tunaanza kampeni,
 
sio kweli ulielewa vby,usajili wa baleke naujua walikwama wapi na wamesolve vp

Kwanza una kadi ya uanachama simba,leo tunaanza kampeni,
Ha ha ha yawezekana nabishana na Salim Try Again kumbe.Kadi ninayo Mkuu tena nimeilipia mwaka mzima.
 
Ha ha ha yawezekana nabishana na Salim Try Again kumbe.Kadi ninayo Mkuu tena nimeilipia mwaka mzima.
hahahaha, hapana sio try again lakini ni vzr kufuatilia klabu yako

Sasa kadi itunze muhimu uje ktk uchaguzi,kampeni zimeanza,maneno yatakua mengi sana
 
hata ukiangalia takwimu kama ubanwa na mlango!SIMBA NDIO TIMU PEKEE KWA SASA YENYE SAFU KALI YA USHAMBULIAJI NA UZUIAJI,alafu usajili mdogo huwa ni kuongezea tu,wachezaji 3 wanatosha,
Hiyo safu kali ya ushambuliaji ya Simba na Kibu umemuhesabia humo humo?
 
Attachments

  • Yng.jpeg
    Yng.jpeg
    115.3 KB · Views: 2
achana makombe huko tutaishia hapa hapa,moja linakutosha,pamoja na kuwezeshwa na MANJI,ROSTAM,JK NA HATA sasa JIESIEM timu hii ya UTOPOLO HAIJAWAHI KUINGIA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA TOKA 1998
Nyie mlioingia makundi mmeshinda makombe mangapi mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom