Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Mtakuja kupatwa na aibu na mkimbie account zenu,wakati mwingine ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.Kuna mwingine kaanzisha uzi jana wa Akpan na Okwa wamegoma kuondoka Simba,usiku huo huo mchezaji wa kigeni katambulishwa,tunamuuliza iweje mchezaji mpya atambulishwe kama hao wamegoma kuondoka amekaa kimya hana majibu.Hakuna sifa ya kusema uongo kwa hili jamvi zaidi ya kujiaibisha tu ndugu zangu.huyo wa congo nani? Kama ni makusu deal inaenda kufa, kama ni baleke ongezeni mzigo