Yanga SC na Michuano ya CAFCL

Uzi ufungwe
 
Timu yako ya wastaafu imeshinda mechi ngapi kwenye kundi la vibonde? Tuanzie hapo kwanza kabla atujaenda kuijadili yanga iliyopo kwenye kundi la magiant mabingwa wa ligi zao!
Simba aliongoza kundi lenye magiant mabingwa wa ligi zao
 
Kama hajawahi kushinda kwenye makundi aliingiaje?
Mkiambiwa mna Fangasi kwenye Ubongo mnalalamika. Now the issue is Group Stage. Leta matokeo yoyote ya Ushindi aliowahi kupata Yanga kwenye Group Stage hapa. Ukifanya hivyo najitolea kuoa dada yako mmoja awazalie mtu mwenye akili huko Utopolo.
 
Waja mnamaneno🙊
 
Timu yako ya wastaafu imeshinda mechi ngapi kwenye kundi la vibonde? Tuanzie hapo kwanza kabla atujaenda kuijadili yanga iliyopo kwenye kundi la magiant mabingwa wa ligi zao!
Mkuu be positive!
Kwasasa Yanga n Bora, ni kweli au si kweli ?!

Simba katika ubora wake, ameifunga Ahly(kwa mkapa)-ambayo Yanga imeshindwa, Aliifunga As Vita(Ugenini) na aliongoza kundi mbele ya Ahly.
So far, hakuna timu yenye wazee, 1. Simba Sc inahitaji maboresho machache tu kuliko Yanga
2. Simba Ina Class ya hii Michuano, Ila Yanga Ina form nzuri tu
Hivo basi, ilipaswa Yanga watumie form yao, ili kuijenga Class na chata ya kudumu katika Michuano hii.

🙏🙏🙏
 
Class ya iyo michuano aliyonayo Simba imewafikisha wapi?
Kwa maana Simba inahitaji maboresho machache na yanga inahitaji maboresho makubwa?
Unasema Simba alimfunga Aly ahly kwenye ubora wake Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly kwa mkapa?
 
Hata Mungu mwenyewe anaweza kuthibitisha kwamba "yanga" wamejitahidi kadri walivyoweza lakini bahati nzuri haikuwa upande wao.
 
Timu yako ya wastaafu imeshinda mechi ngapi kwenye kundi la vibonde? Tuanzie hapo kwanza kabla atujaenda kuijadili yanga iliyopo kwenye kundi la magiant mabingwa wa ligi zao!
Hii siyo shirikisho,hakuna kulalamika umekutana na giant ndo maana ikaitwa club bingwa, ukipasuliwa unanyamaza na siyo excuses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Class ya iyo michuano aliyonayo Simba imewafikisha wapi?
Kwa maana Simba inahitaji maboresho machache na yanga inahitaji maboresho makubwa?
Unasema Simba alimfunga Aly ahly kwenye ubora wake Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly kwa mkapa?
Najua
Yanga alikutana na Ahly 03.2014
Yanga 1-0 Ahly
AP Ahly 1-0 Yanga
Simba wana Class, kuonekana Simba n mbovu ndio kumeipaisha Yanga Ila kiuhalisia Simba sio mbovu kiasi hicho watu wanavyouzungumzia. Ila nakiri Yanga n bora
 
Mfumo wa Nabi alikuwa anategemea zaidi Wingers wenye speed na striker mwenye speed.

Ikipigwa counter attacks,Kisinda anakimbiza au Moloko huku Kati Kuna Mayele wanafunga.

Ndio maana Morrison na Azizi Ki walitepeta wakati wa Nabi kwa kukosa pumzi.

Gamondi anategemea zaidi Wingers halafu mpaka sasa bado hakuna striker anayemwamini. Anabahatisha bahatisha tu.

Jana wametengeneza nafasi nyingi lakini wakifika kwenye box la mpinzani wanashindwa kufanya maamuzi.

Beki za Job, Mwamnyeto zina makosa mengi Kwasababu ya kukosa speed.

Na kibaya zaidi hatuna ufundi wa kupiga V PASI na zikipogwa V PASI ni hatari mnoo kwenye uzuiaji.
 
Umeongea kitu, safi sana
 
Taratibu kila mtu ataanza kutambua jitihada za Simba Sc kufikia robo fainali ya hii michuano, ilifika mahala CAFCC inalazimishwa kuwa Champions League (CAFCL)

Utasikia "Tumecheza fainali ya kombe club bingwa Africa"
 
Bouzdad yeye mechi zake za nyumbani atakuwa katulia tu akisubiri mshinde zenu ?
 
Mayele alikua ni Messi wa Yanga. Mayele alikua anaibeba yanga hata kwenye nyakati ngumu.... Yanga wakikwama Mayele alikua ndo mkombozi. Mayele alikua ni engine ya yanga.... Yanga wanakwama kwa sababu mayele hayupo.....
 
Kama hajawahi kushinda kwenye makundi aliingiaje?
Ukisikia champions league ujue inazungumziwa hatua ya makundi,kule hatua za mwanzo huwa hawazingatii ndio maana hata goal scorers wanaanza kuhesabiwa magoli yao hatua ya makundi,magoli ya preliminary stages hayahesabiwi
 
Class ya iyo michuano aliyonayo Simba imewafikisha wapi?
Kwa maana Simba inahitaji maboresho machache na yanga inahitaji maboresho makubwa?
Unasema Simba alimfunga Aly ahly kwenye ubora wake Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly kwa mkapa?
Yanga alimfunga Al Ahly kwa Mkapa kwenye hatua ipi wakati Yanga hajawahi kushinda mechi yoyote ya makundi klabu bingwa tangu kuanzishwa kwake?
 
Najua
Yanga alikutana na Ahly 03.2014
Yanga 1-0 Ahly
AP Ahly 1-0 Yanga
Simba wana Class, kuonekana Simba n mbovu ndio kumeipaisha Yanga Ila kiuhalisia Simba sio mbovu kiasi hicho watu wanavyouzungumzia. Ila nakiri Yanga n bora
Nikuweke sawa ilikuwa 2016 na sio 2014, alafu unatakiwa ukubali madhaifu yako ili uyarekebishe, ubora wa yanga aukujengwa kwa siku moja, ulijengwa kwa misimu 4 na msimu wa 5 wakajipata, uwekezaji na project yao ya muda mrefu ndio matunda wanayovuna kwa sasa, Simba yako ilijisahau ikawa inaendeshwa kwa propaganda wakati wenzao wanapiga hatua kivitendo na kwa malengo, ubovu wa Simba aukuja ghafra Bali ni process iliyoanza muda mrefu na hiki kinachoonekana kitawacost kwa misimu mingine 4 Kama amtakubali kuwa timu yenu Ina matatizo makubwa kuanzia kwenye uongozi mpaka chini kwa aina ya wachezaji mnaowasajili, benchikha atoweza kubadili kile kilichopo Kama amtokaa chini na kutafuta changamoto zenu mtabaki kusema yanga atashuka ili mpande na ashuki kwakuwa wameweka misingi imara ya kuwapeleka mbele na sio kurudi nyuma
 
Taratibu kila mtu ataanza kutambua jitihada za Simba Sc kufikia robo fainali ya hii michuano, ilifika mahala CAFCC inalazimishwa kuwa Champions League (CAFCL)

Utasikia "Tumecheza fainali ya kombe club bingwa Africa"
Simba wamecheza club bingwa ya Horoya na As Vita lakini mnabweka Kama kimburu.

Leo mko group la vibonde lakini zero kabisa.

Mnaponda shirikisho wakati hamna mafanikio yoyote kwenye shirikisho pamoja na kushiriki kwa kuroga kwenye VIWANJA vya watu. Mbumbumbu.
 
Unazidharau As Vita na Horoya zenye profile yq kutosha huku CAFCL, kisha unataka kuziheshimisha Madeama, Zalan, Marumo na wengineo wa aina hiyo?

Nadhani kwenye darasa la wajinga utaburuza mkia (kwa akili hizo hauwezi kuwa wa kwanza hata kwenye darasa la wajinga)
 
Wewe kiazi, tangu lini Zalan na Marumo wakacheza group stage??

Haya hao Simba wako wapi, na ukubwa wao. Mbona tumewagonga TANO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…