Nyuma Mwikoo.Cc: @ Daima mbele
Yupo Beno atachukua nafasiGolikipa bado tatizo yanga!
Beno mzuri sana nashangaa kawekwa benchi,huyu Kindoki matcha ya Simba tusimuone Golini.Golikipa bado tatizo yanga!
Mbona wamechezea mbao 4-2 uzuri uko wapi? Tutarespond gemu zijazo mkuu.Stend wanacheza vizuri kuliko Simba,kumanina zao wale madogo wanakula mishahara mikubwa halafu wanacheza matako
Toka Jana mnacheza mpaka Leo? Tupe matokeo ya hiyo match yenuTukkmaliza mechi naenda kuogelea pale klabuni kwetu...Yanga oyeee
Kipa wenu ni manulaWakuu huyu kipa wetu mbona shati sana ataweza mikiki mikiki ya OKWI BOCCO na KAGERE ?tusije kupata aibu ya karne mbele ya Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuwa makini usije kung'atwa na vyura hapo bwawaniTukkmaliza mechi naenda kuogelea pale klabuni kwetu...Yanga oyeee
Professional player hawezi kuwekwa benchi na mchezaji wa ndani, hata kama ni shati tu. Si unakumbuka Rostand pamoja na ubovu wake alikuwa ndio kipa namba moja?Beno mzuri sana nashangaa kawekwa benchi,huyu Kindoki matcha ya Simba tusimuone Golini.
Manula??kwani manula yupo vyuraa fc?Kipa wenu ni manula
Acha unaaManula??kwani manula yupo vyuraa fc?
Mpira ni dakika 90,kuna kipindi wamepiga mpira kuna kipindi walicheza hovyo. Simba walicheza hovyo dk 90Mbona wamechezea mbao 4-2 uzuri uko wapi? Tutarespond gemu zijazo mkuu.
Mkuu nimeuliza tu sio vibaya ukinifahamisha au sioAcha unaa
Wewe wa simba mkuuMkuu nimeuliza tu sio vibaya ukinifahamisha au sio
Utamuelewa vizuri tarehe 30Huyu Kindoki sijamuelewa