Yanga Sc Vs Stand Unites Updates.

Yanga Sc Vs Stand Unites Updates.

Tukkmaliza mechi naenda kuogelea pale klabuni kwetu...Yanga oyeee
 
Wakuu huyu kipa wetu mbona shati sana ataweza mikiki mikiki ya OKWI BOCCO na KAGERE ?tusije kupata aibu ya karne mbele ya Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Beno mzuri sana nashangaa kawekwa benchi,huyu Kindoki matcha ya Simba tusimuone Golini.
Professional player hawezi kuwekwa benchi na mchezaji wa ndani, hata kama ni shati tu. Si unakumbuka Rostand pamoja na ubovu wake alikuwa ndio kipa namba moja?
 
Back
Top Bottom