Yanga SC walifanyie sana Kazi hili japo wameshajiaminisha kuwa Watamfunga MCA Jumamosi ijayo

Mchezaji yeyote ambaye anaitakia mema klab yake ya Young/mdogo African anatambua umuhimu wa mechi Hiyo hata bila kuambiwa Chochote.
 
Uongozi, benchi la ufundi, wachezaji, wanachama, na washabiki wa yanga wanajua fika kuhusu mchezo wa kesho.
 
Mechi na al hilal je?
 
Popoma waambie watz alipo Pacome pia
 
Acheni kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…