Yanga SC walifanyie sana Kazi hili japo wameshajiaminisha kuwa Watamfunga MCA Jumamosi ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo.

Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi wasiwaambie Wachezaji wao kuwa hii ni Mechi muhimu sana Kwao bali wawaambie tu kuwa hiyo Mechi ni ya Kawaida na waacheze bila Presha. Wakifanya hivi itawasaidia mno Kushinda Kiuwepesi.

Nawaomba sana Mashabiki wa Yanga SC waache Kuwatwisha Wachezaji mzigo (Mitandaoni na Mazoezini) mkubwa wa kuwataka Wajitoe hadi tone lao la mwisho la Jasho kwani watasababisha Wachezaji kujawa na Hofu na kuondoa Umakini.

Uongozi wa Yanga SC umtake mwana Simba SC 100% na mwana Yanga SC 0% Haji Manara atulie hasa kwa Kauli zake za Kuwajaza Mzigo wa Kimajukumu Wachezaji hasa kuelekea hiyo Mechi kwani Kiufundi kwa kufanya Kwake hivyo anawaharibu na watajiona wana Lundo la Matarajio kutoka kwa Watu maarufu na wenye Ushawishi.

Yanga SC wawe makini sana Asante.
 
Kumwaambia kuwa hii mechi ya kawaida sidhani kama itawasaidia maana hii ni mechi ambayo inatakiwa eneo la ulinzi linahitaji umakini na eneo la umaliziaji pia linahitaji kuwa makini. Nafasi ikipatikana itumike ipasavyo na wachezaji kutofanya makosa maana wataadhibiwa
 
Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo.

Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi wasiwaambie Wachezaji wao kuwa hii ni Mechi muhimu sana Kwao bali wawaambie tu kuwa hiyo Mechi ni ya Kawaida na waacheze bila Presha. Wakifanya hivi itawasaidia mno Kushinda Kiuwepesi.

Nawaomba sana Mashabiki wa Yanga SC waache Kuwatwisha Wachezaji mzigo (Mitandaoni na Mazoezini) mkubwa wa kuwataka Wajitoe hadi tone lao la mwisho la Jasho kwani watasababisha Wachezaji kujawa na Hofu na kuondoa Umakini.

Uongozi wa Yanga SC umtake mwana Simba SC 100% na mwana Yanga SC 0% Haji Manara atulie hasa kwa Kauli zake za Kuwajaza Mzigo wa Kimajukumu Wachezaji hasa kuelekea hiyo Mechi kwani Kiufundi kwa kufanya Kwake hivyo anawaharibu na watajiona wana Lundo la Matarajio kutoka kwa Watu maarufu na wenye Ushawishi.

Yanga SC wawe makini sana Asante.
Kwenye ilo yanga wako vizuri uwa awacheki na kima inapotokea mechi ya maamuzi,,uwa wanakuwa kama chui aliyejeruiwa Kila mchezaji uwa anatimiza majukumu yake ipasavyo rejea mechi na club African, mechi na USM alger, mechi na Cr belouzdad utapata picha ya yanga inapokuwa inalitaka jambo lake!
 
MTEGO HUU GENTA
 
Kama uwezo wako katika Football ndio umeishia hapa Bora ukae kimya tu
Haya uliyoandika hakuna hata Moja la kiufundi ila ni siasa tu za mtu asiyejua Mpira
Pressure ya mechi Huwa ipo automatically kulingana na mechi husika
Hauwezi kuifanya mechi isiwe na pressure mechi ambayo Ina pressure
Pia hauwezi kulazimisha mechi iwe na pressure mechi ambayo Haina pressure

Professional players wapo Kwa ajili ya mechi kama hizo
 
Uchawi huo
 
Haya Kakojoe na Ukalale.
 
Kwenye ilo yanga wako vizuri uwa awacheki na kima inapotokea mechi ya maamuzi,,uwa wanakuwa kama chui aliyejeruiwa Kila mchezaji uwa anatimiza majukumu yake ipasavyo rejea mechi na club African, mechi na USM alger, mechi na Cr belouzdad utapata picha ya yanga inapokuwa inalitaka jambo lake!
Umemsahau na mamelod sundown 🥴
 
Unamaanisha kwamba hadi leo hao wachezaji hawajui umuhimu wa hiyo mechi?
 
Kwenye ilo yanga wako vizuri uwa awacheki na kima inapotokea mechi ya maamuzi,,uwa wanakuwa kama chui aliyejeruiwa Kila mchezaji uwa anatimiza majukumu yake ipasavyo rejea mechi na club African, mechi na USM alger, mechi na Cr belouzdad utapata picha ya yanga inapokuwa inalitaka jambo lake!
Hata mechi ya Mamelodi kule SA.
 
Ao wachezaji wa Yanga wote ni Senior kwenye Soka la Afrika, huna haja ya kuhangaika kuwaelekeza umuhinu wa mechi.
Maelekezo wanayo pewa ni kuhusu udhaifu wa mpinzani kama timu na uimara wa mpinzani upo maeneo Gani, Tabia za wachezaji mmoja mmoja wa Upinzani.
Mfano : unaweza waeleza, kama wata tia presha kwenye transition ya mpinzani yupo mchezaji wa Upinzani ata toa pasi mkaa ama fupi kilichobaki kwenu ni utulivu na ku ukwamisha mpira wavuni.
Au timu A hatari Yao ipo kwa watu Gani.
 
Wazee wa bahasha wanatapatapa
FB_IMG_17367743729615911.jpg
 
Back
Top Bottom