Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

1. Wanachama na Mashabiki Werevu ( Geniuses ) kabisa
2. Mabadiliko makubwa ya Kiuendeshaji na hakuna Uswahili kama uliopo Yanga SC
3. Tuna CEO ambaye siyo tu kwamba ni Mrembo ( Mnyange ) bali pia ana uwezo mkubwa wa Akili kuliko Viongozi wote wa Yanga SC
4. Kikosi kipana ambacho kama kingepata nafasi ya Kucheza na Ken Gold iliyofungwa Goli 1 tu na Yanga SC yenyewe ingewafunga Magoli 47
5. Klabu bora katika Vilabu 20 bora katika Bara zima la Afrika
6. Klabu ambayo imeweza Kuifunga si tu Klabu Bingwa barani Afrika ya Ah Ahly bali imewafunga pia Matajiri wa Afrika Klabu ya Ah Ahly
7. Klabu ambayo thamani ya Wachezaji wake kwa sasa ni kuanzia Tsh Milioni 750 tofauti na wa Yanga SC ambayo wanaanzia Tsh 3,000/= tu

Kama kuna Swali lingine nalisubiri tafadhali kwani wengine kujibu Maswali ya Watu Utopolo ( Dhaifu ) humu Mitandaoni ndiyo Jadi yetu kabisa tu.
Dah! Nadhani hizi ndio zile watu huita sifa za kijinga
 
tumia akili kidogo kufikiri, kama yanga wanakusanya michango kwa wanachama wake hiyo sio misaada kwani ni wajibu wa mwanachama kutoa mchango kwa mujibu wa katiba ya club ya yanga, sio kama nyie lazima mkajikombe kwa mabeberu wa kihindi na waarabu kuendesha timu sababu wanachama wengi wa Simba ni masikini na mbumbu hawana hata plan B pindi timu unapokwama
We ndo ujatumia akili, katiba ya Yanga inawataka wanachama kulipia wanachama wake ada ya kadi ya uanachama ya kila mwaka, sio kama mnavyotembeza bakuli.
Yaani Utopolo unashindwa kujua hata utaratibu mliojiwekea.
Sasa kuja kutangazia umma kwamba watu wajitokeze kukarabati vyumba vya kulala Wachezaji huo ukosefu wa akili.
Hivi Yanga pale hamna watu wa mipango mkafanya hili jambo kiutalamu, mnatia aibu au Luc alivyosema ni uneducated alikua sahihi.
Dk mzima anashindwa kua mbunifu kubuni vyanzo vya mapato. Ko na mtaalamu wenu wa ushauri Senzo huo ndo ushauri aliowashauri. Bora aliondoka Simba kumbe hana ubunifu wowote
NB.
Mkiwa na hela wa kimataifa msipokua na hela timu ya wananchi
 
bora Mara mia timu ikodishwe kuliko hiyo Simba,bwana Mohammed anavyowafanyia kwani hadi Leo aeleweki kama ni mwekezaji au sponsor, yeye mwenyewe Mara kibao alishasema anachofanya ni kutoa msaada tu kwa Simba.
Nazani ndio sababu hata hiyo timu kashaifanya kama Mali ya familia yake mixer hadi michepuko yake anaipa vitengo anavyotaka, kwa ufupi bwana Mohammed kaokota dodo chini ya mwarobaini sababu hiyo timu kuanzia viongozi hadi mashabiki ni mbumbumbu
Ebu tuambie GSM ni nani pale Yanga?
 
tumia akili kidogo kufikiri, kama yanga wanakusanya michango kwa wanachama wake hiyo sio misaada kwani ni wajibu wa mwanachama kutoa mchango kwa mujibu wa katiba ya club ya yanga, sio kama nyie lazima mkajikombe kwa mabeberu wa kihindi na waarabu kuendesha timu sababu wanachama wengi wa Simba ni masikini na mbumbu hawana hata plan B pindi timu unapokwama
Kuna njia nyng ambazo timu za wanachama wanatumia kukusanya michango sio kama walivyokua wanafanya yang kuomba michango kwa kutumia njia waliokua wanaitumia yanga kwanza ni njia ya ovyo pia sio endelevu na mara nying inatumiwa na timu za mitaan,timu za wanachama zinatumia njia nying kupata pesa mfano wanachama kulipia kadi so ni kaz ya tim kutoa kad kwa wingi na ni jukum la wanachama kulipia kadi, pia kuna mapato ya viwanjan ,kuuza jez na vtu mbal mbal vya timu ,pamoja na wadhamin na nk, ile njia ya kuandaa matamasha au kutoa namba kuchangia timu ni njia ya ovyo na yakishamba mno
 
tumia akili kidogo kufikiri, kama yanga wanakusanya michango kwa wanachama wake hiyo sio misaada kwani ni wajibu wa mwanachama kutoa mchango kwa mujibu wa katiba ya club ya yanga, sio kama nyie lazima mkajikombe kwa mabeberu wa kihindi na waarabu kuendesha timu sababu wanachama wengi wa Simba ni masikini na mbumbu hawana hata plan B pindi timu unapokwama
Na pia timu karbu zote ili zipige hatua au ambazo zimeshapga hatua zinawaitaj watu kam akina mo ili zifike mahal ziweze kujitegemea ukirud nyuma tim kama munich au madrid na nyingne azikua na maendeleo tokea zilivyoanza tu zilianza kuwa na watu ambao waliangaika uku na uku kuakikisha zinasimama na ndio maana ad leo hii timu zao hazitegemei mtu mmoja kwa sababu washakua na mising ya kujiingiza kipato timu haiwez kuendelea kwa kuchanga buku buku pasipo kuwa na msing ambao iyo buku itakuja kuwa bilion mbele na ndio maana ata yanga pamoja kuwa mulikua munachangisha haikuwasaidia kitu mpaka leo hii gsm amekua mkomboz kama muna ubavu mfukuzen gsm muendelee kuchanga muone
 
sasa huyo Mohammed anafanya kipi cha mahana cha kufanya Simba iweze kujtegemea yenyewe kama club na sio kumtegemea Mohammed?
Mimi nachokiona hapo Mohammed kawazidi akili wanasimba wote kwani anachokifanya ni kufanya Simba iwe tegemezi kwake ili apate mwanya wa kuwatala anavyotaka, Leo hii bwana Mohammed akisema anajitoa kuifadhili Simba lazima viongozi na mashabiki mkampigie magoti
 
Ni wazi kabisa,unaongea bila kuelewa unachoongea,ukubwa wa yanga ni upi?,wewe hujui kuwa yanga ni timu ya wananchi,ambao ndio mali yao na ili kuthibitisha hilo,wananchi wanajitolea kuijenga klabu yao,ubaya ni upi?,usomi wa mwenyekiti ni huo kwamba anawaita wanachama kuchangia kuijenga klabu yao,katika kipindi hiki ambacho,klabu ipo kwenye mchakato madhubuti wa kuujenga mfumo mzuri wa uongozi.Ukikosa la kuongea bora unyamaze
Mkishaishiwa tu yanga mnajiita timu ya Wananchi🤣🤣🤣🤣
 
sasa huyo Mohammed anafanya kipi cha mahana cha kufanya Simba iweze kujtegemea yenyewe kama club na sio kumtegemea Mohammed?
Mimi nachokiona hapo Mohammed kawazidi akili wanasimba wote kwani anachokifanya ni kufanya Simba iwe tegemezi kwake ili apate mwanya wa kuwatala anavyotaka, Leo hii bwana Mohammed akisema anajitoa kuifadhili Simba lazima viongozi na mashabiki mkampigie magoti
Sio kwa simba tu kumpgia magot mo ,umesahau yanga walivyokua wanamlilia manji ilifikia mahali kuna viongoz wa yanga wanasoma barua ya kusema manji anarud ,iv karbun pia gsm walitishia kujtoa wabak kama wauza jez nani alikubal waondoke? ni ivyo ivyo kwa simba ni ngum kwa sasa iv kuish bila mo kuendesha timu za mpra kunaitaj ushabik kwanza na moyo alaf ndio mafaniko kwa jins simba na yanga walivyochelewa kupata mafanikio si suhala la miaka 3 au 5 kuweza kupata mafanikio zinaitaj watu mfano akina mo au hao gsm watulie sana ili waziache zikiwa vzur ,nikupe mfano pamoja na utajil wake na umaaruf wake al ahly ilikaa zaid ya miaka 7 kulipata kombe la Africa ,je fikiria izo tim ambazo zilikua zinaendeshwa kama chama cha siasa zitachukua muda gan kuweza kuish bila kumtegemea mtu mmoja au kampun
 
bora Mara mia timu ikodishwe kuliko hiyo Simba,bwana Mohammed anavyowafanyia kwani hadi Leo aeleweki kama ni mwekezaji au sponsor, yeye mwenyewe Mara kibao alishasema anachofanya ni kutoa msaada tu kwa Simba.
Nazani ndio sababu hata hiyo timu kashaifanya kama Mali ya familia yake mixer hadi michepuko yake anaipa vitengo anavyotaka, kwa ufupi bwana Mohammed kaokota dodo chini ya mwarobaini sababu hiyo timu kuanzia viongozi hadi mashabiki ni mbumbumbu
Utasemaje bora kukodishwa kuliko anavyofanya Mo wakati Yanga ilivyokodishwa haikuwahi kufika makundi champions league huku Simba inayofanyiwa hivyo na Mo imefika hadi quarter final? Sasa hapo ni ipi njia bora ya kupata mafanikio? Maana lengo la kwanza la klabu ni kupata mafanikio ndani ya uwanja ambayo yanapelekea mafanikio nje ya uwanja.
 
Ni kwa nini Uliiacha ile ID ya Gentamycine ?
Unaonaje Jina la ID yako hii likabaki hilo la mwanzoni / mwanzo tu, ila la mbele ( la mwisho ) ukalitoa kwani hufanani nalo hata kidogo hasa tunaojua huo Uchizi wako uliokukomaa tangia ukiwa Mdogo?
 
Unaonaje Jina la ID yako hii likabaki hilo la mwanzoni / mwanzo tu, ila la mbele ( la mwisho ) ukalitoa kwani hufanani nalo hata kidogo hasa tunaojua huo Uchizi wako uliokukomaa tangia ukiwa Mdogo?
Wazo zuri. Nmelipenda. Natoaje nielekeze. Kwa hiyo ile ID ya Gentamycine ndo Umeitelekeza kabisa? Au mara moja moja unaitumia kutukana watu wakitofautiana nawe?
 
Back
Top Bottom