CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Dah! Nadhani hizi ndio zile watu huita sifa za kijinga1. Wanachama na Mashabiki Werevu ( Geniuses ) kabisa
2. Mabadiliko makubwa ya Kiuendeshaji na hakuna Uswahili kama uliopo Yanga SC
3. Tuna CEO ambaye siyo tu kwamba ni Mrembo ( Mnyange ) bali pia ana uwezo mkubwa wa Akili kuliko Viongozi wote wa Yanga SC
4. Kikosi kipana ambacho kama kingepata nafasi ya Kucheza na Ken Gold iliyofungwa Goli 1 tu na Yanga SC yenyewe ingewafunga Magoli 47
5. Klabu bora katika Vilabu 20 bora katika Bara zima la Afrika
6. Klabu ambayo imeweza Kuifunga si tu Klabu Bingwa barani Afrika ya Ah Ahly bali imewafunga pia Matajiri wa Afrika Klabu ya Ah Ahly
7. Klabu ambayo thamani ya Wachezaji wake kwa sasa ni kuanzia Tsh Milioni 750 tofauti na wa Yanga SC ambayo wanaanzia Tsh 3,000/= tu
Kama kuna Swali lingine nalisubiri tafadhali kwani wengine kujibu Maswali ya Watu Utopolo ( Dhaifu ) humu Mitandaoni ndiyo Jadi yetu kabisa tu.