Yanga SC yafyeka wanne akiwemo Ramadhan Kabwili

Sidhani kama yanga imewatimua hao wachezaji kutokana na perfomance yao uwanjani kuwa ndogo, nadhani itakua ni zile kashfa zilizo trend hapo katikati

Kigezo kingekuwa perfomance basi ningemuona Mayele kwenye list otherwise wawe na double standards
Mh!
 
Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa.

Wachezaji wanne wanaotajwa kuachana na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15, mwaka huu ni Adeyum Saleh, Ditram Nchimbi, Ramadhan Kabwili na Paul Godfrey ‘Boxer’.

Chanzo chetu kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra, kwamba: “Tayari kamati ya usajili imeanza kazi yake kwa ajili ya kuimarisha kikosi wakishirikiana na benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

“Kuna wachezaji ambao wataondolewa kwenye kikosi kutokana na kutokuwa na kiwango bora na wengine watatolewa kwa mkopo kuwapisha wachezaji watatu watakaosajiliwa.

“Wachezaji hao ni pamoja na Ditram Nchimbi, Ramadhan Kabwili ambao wote wawili hawapo kambini na wengine ni Adeyum Saleh pamoja na Paul Godfrey.”

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Yanga, Dominick Albinus, alisema: “Tumeanza kufanya kazi tayari na tupo kwenye hatua za mwisho kwa ajili ya kumalizana na baadhi ya wachezaji ambao tutawaongeza kikosini.

“Hatuna ugumu wowote kwetu kusajili kwani mchezaji yeyote tunayemuhitaji tutamsajili. Wapo wachezaji wawili ambao tunaendelea na mazungumzo nao ili kuwaongezea mikataba.

“Kuhusu suala la wachezaji ambao tutawatoa kwa mkopo bado hatujapewa mapendekezo na kocha ila kuna maeneo yapo kwa ajili ya kuongeza wachezaji, hawawezi kuzidi wawili au watatu.

“Wachezaji ambao tunawasajili kwa sasa hawawezi kuwa wale wa kupewa muda bali tunahitaji wale ambao wataleta faida kwenye timu kwa haraka kwa kuingia kikosini.”

View attachment 2037341
Toto shatashata. Yanga kwa kufuga majunya tu hawajambo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Fei Toto pia mumuonye. Nae wanamkabwilize sema hajakomaa sana katika tabia hiyo. Hii inapelekea wachezaji wetu kuchoka sana kipindi cha pili kwa sababu vitafunwa wanavyo kambini.
 
Simba sio mashoga kama Utopolo shenzi tuheshimu plz

Screenshot_20211213-124726_Instagram.jpg
 
April 10, 1999 katika hotel waliyofikia Makolo pale Morogoro ..... baada ya mechi na Reli.....explore history
Fei Toto pia mumuonye. Nae wanamkabwilize sema hajakomaa sana katika tabia hiyo. Hii inapelekea wachezaji wetu kuchoka sana kipindi cha pili kwa sababu vitafunwa wanavyo kambini.
 
Fei Toto pia mumuonye. Nae wanamkabwilize sema hajakomaa sana katika tabia hiyo. Hii inapelekea wachezaji wetu kuchoka sana kipindi cha pili kwa sababu vitafunwa wanavyo kambini.
Umemsahau Morrison ambaye alidhihirisha kwa kuvua Pichu uwanjani huku akicheza cheza mbele ya wanaume.Taarifa zilizopo wahoji wakina Mkude,Onyango,Boko
 
Back
Top Bottom