Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

mzee mfano wako haufai,Yale ni Mambo ya kimkataba (makubaliano ya pande zote mbili) NI RAHISI kuhoji Kama Mambo hayaeleweki na tunaanzia kupitia mikataba,yaani RAHISI Sana!
Sasa Mambo ya kujitungia mtihani wapi na wapi
 
Ayo ayakuhusu kamuulize kanjibhai wenu kwamba b.20 aliziweka benk gani ukileta jibu ndo utajibiwa la kwako
Na wewe utujibu hizo 9B zinawekwa kwenye akaunti ipi? Wajinga ndiyo waliwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…