mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ungekuwa na akili usingekubali timu yenu iuze jezi 35,000 alafu mpewe 1,300ID yako inaendana na unachokiandika atushangai ata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na akili usingekubali timu yenu iuze jezi 35,000 alafu mpewe 1,300ID yako inaendana na unachokiandika atushangai ata kidogo
Hata isipowekwa ila ilimradi timu inashinda ,inasafiri, wachezaji wanalipwa mishahara na posho kwa wakati na wanakaa Kambi nzuri hatujali.Sasa hapa uto mnaaminije kwamba hiyo pesa kweli ataiweka GSM kwenye akaunti wakati mkurugenzi mwenyewe wa kampuni ndiye m/kiti wa klabu?Hamuoni kwamba hapa kuna mgongano wa kimaslahi?
Mwanafunzi wa darasa la 7 kajitungia mtihani mwenyewe, kaufanya mwenyewe kajisimamia mwenyewe , kajisahihisha mwenyewe, Matokeo anapanga mwenyewe , anasoma Matokeo mwenyewe , halafu anawalazimisha drs la 1 hadi 6 wamshangilie na kweli wanamshangilia .Maajabu hayaishi nchi hii.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Sisi hatuna shida na uto pesa zenu mmeweka a/c gani mtajua wenyewe na utopolo wenuMkituoñyesha pia b.2 za vunja bei ziliingia account gani basi na yanga watawaonyesha wameweka benk gani
Sahihi kabisa hawa wenzetu wanapenda kuokotwa sanaMkataba wa Simba waelekea ukingoni
Wakati Simba akipata 1bil
Yanga ilikuwa yapewa 1300 kwa kila jezi
umaskini wa Timu zetu hisi ndugu yangu we acha tu.🤣🤣🤣🤣 hah hii nchi itaisha lini vituko. Msimamzi mimi afu nilipe mimi hahahahhaah ya wapi hayo.? Wamezungukwa 🤣🤣🤣
Hata haijulikani kuwa ni lini ilitangazwa kuhitajika mtengenezaji wa jezi na vifaa vingine. Wanajichotea tu. Turejee kauli ya LUC EMELY na ile clip ya manara anayosema watu wa yanga akili zao zina fanana. Kutwa utawakuta wana mjadili Mo na simba bila kuangalia upande wao. Waswahili husema "nyani haoni kundule"umaskini wa Timu zetu hisi ndugu yangu we acha tu.
Mara zote simba anaongoza njia wewe unafata. Baada ya kuona ssc anapata b kwa mwaka wakati wewe unapata 13,500 kwa kila jezi kiongozi wenu akaona aongeze sifuri ili kuendelea kuwapumbaza, Nawaambia mtapigwa machanga ya macho mengi sana kwa jiesemNdo nilitaka yule kilaza anijibu alafu aniambie wao kwa mwaka kwrnye b.2 wanapewa bei gani, maana nimeona kama vile dish lake limeyumba hivi
na tishu ya kufutia kinyesi vyote wamechanganywa navyoHiyo tender ilikuwa na ushindani? if yes, GSM walishindanishwa na nani? if No, utopolo hamuoni kama Hersi na ndugu zake GSM wamewaweka mfuko wa nyuma wa suruali zao, tena wamewachanganya na leso kwenye mfuko huo huo?
Vunjabei alishindana na nani?Hiyo tender ilikuwa na ushindani? if yes, GSM walishindanishwa na nani? if No, utopolo hamuoni kama Hersi na ndugu zake GSM wamewaweka mfuko wa nyuma wa suruali zao, tena wamewachanganya na leso kwenye mfuko huo huo?
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu wale jamaa Rage alishaga walaani, yaani akili zao ni nusu kijiko wanazo za kuvukia barabara tu utaangaika nao hapa utapoteza muda wako bure kuwajibu, msongo wa mawazo walionao ni mkubwa wanaitaji mtaalamu wa saikolojia haraka sana
GSM NA YANGA,hyo GSM KWA GSM unasema wewe!au habari ilikuja GSM kwa GSM waingia mkataba blah blah!?Huo mkataba ni makubaliano kati ya GSM kwa GSM wenyewe, ndio maana wajanja tunasema Club imeuzwa.
Huelewi nini hapo? Yani Hersi SAIDI ambaye ni Gsm kaingia mkataba na kampuni ya GSM, mwakilishi wa team asiyefungamana ma GSM ni nani??[emoji16][emoji23].
Ile tenda ya SIMBA SC kuhusu jersey angeichukua MO pasingekalika humu.
hawaangalii hili wako busy na ya YangaMapunguani ni wale mbumbumbu wa Moo maana mnakomalia vitu msivyovielewa, kadadavueni mikataba yenu ya Mo extra, Mo viberiti, Mo biox, na Mo 26 kwanza ndio tunaweza kuwapima kama mnazo akili au zimo za kushikiwa
[emoji482]Nimesoma comment za wanasimba kwenye huu mjadala nimesikitika sana.
Lowassa hakukosea aliposemaga ELIMU! ELIMU! ELIMU!
Uelewa wa wanaSimba ni mdogo sana. Yaana kamakala kafupi kama haka ambako hakajazi hata ukurasa mmoja wa A4 wanashindwa kukaelewa.
Mikataba ni miwili. Lakini mtu anachanganya mkataba wa udhamini wa milioni 300 kwa mwaka, na mkataba wa jezi na vifaa vingine vya michezo kana kwamba ni mkataba mmoja.
Halafu mtu anadhani mkataba wa jezi ndo chanzo pekee cha mapato cha Yanga mpaka anaandika "Bilioni 10 kwa miaka mitano ni ndogo sana kwa Yanga."
Halafu kuna mtu sijui hata hesabu alipataga ngapi eti anadhani kwenye makala hii kuna taarifa ya kutosha kumsaidia kukokotoa kwamba ni "Tshs. 1,300/- kwa kila jezi"
Nikikutana na mwanaSimba mmoja mwenye akili ya kusoma na kuelewa nitampa hela akamchangie Vunjabei kwa kununua jezi.
ELIMU! ELIMU! ELIMU!