Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Nitasubiri kuona mashabiki wa Yanga wakidai kuonyeshwa ni katika akaunti ipi hiyo hela imeingizwa kama jinsi ambavyo walidai kuziona hela za MO, ilikuwa ni swala la muda tu wao kumchutamia GSM hasa baada ya kijana wake mtiifu kushika nafasi ya juu zaidi kwenye club.
Mtakaokuja kutetea naombeni mni-crush kwakuleta hiyo account.
Oooh Simba Sc imeuzwa kwa Mo...Oooh Simba Sc ni mali ya ukoo wa Dewji...kikowapi sasa, mtasema ni mkataba wa miaka kadhaa ila mpaka HERSI anatoka madarakani tayari itakuwa mikononi mwao[emoji16]