Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Hii ni habari nzuri sana
 
Wanajitoa Nati, Na mimi ninairudisha!
 
Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Uzuri tupo hapa
 
ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
Umesahau kuwa ni Bingwa nchini mwao?
 
Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Mnawaita wenzetu loosers wakati nyie mnashiriki mashindano ya viti maalum, ambayo timu zilichaguliwa mezani wakizingatia vigezo vya kijinsia na ukubwa wa hips.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…