Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)

Link:- (IFFHS)

Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.

Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.

Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
Hii ni habari nzuri sana
 
Leo ndio mnapata akili za kuhojji juu ya hizi takwimu za IFFHS kwavile tu Yanga ipo juu ya Simba na pia ipo nafasi za juu ndio mnashangaa lakini kipindi kile Simba inawekwa mlikuwa mnakuja kupongezana na hakuna aliyehoji kuwa kivipi. Endeleeni kupokea ranking, kama walivyotumia vigezo vya kuipandisha Simba ndivyo wanavyotumia kuipandisha Yanga hadi nafasi ya tisa. Kutesa kwa zamuView attachment 2622445View attachment 2622447View attachment 2622448
Wanajitoa Nati, Na mimi ninairudisha!
 
Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Uzuri tupo hapa
 
Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Mnawaita wenzetu loosers wakati nyie mnashiriki mashindano ya viti maalum, ambayo timu zilichaguliwa mezani wakizingatia vigezo vya kijinsia na ukubwa wa hips.
 
IMG-20230515-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom