ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Leo wana hoji wakati kipindi kile walikua wana sifiaKawalilie IFFHS hawa hapa [emoji116] [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wana hoji wakati kipindi kile walikua wana sifiaKawalilie IFFHS hawa hapa [emoji116] [emoji116]
Hii ni habari nzuri sanaHii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)
Link:- (IFFHS)
Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.
Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.
Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
Hawa kiboko yao ni kuchukua ndoo ya CAF alafu kelele zinakuwa zimekwisha rasmi.Leo wana hoji wakati kipindi kile walikua wana sifia
Shangaa na wewe mkuuLeo mmewageuka IFFHS?
upumbavu wa kiwango cha lami
Simba ndio mshakalishwa chini hivyo 😁😁Toa ujinga
Ubora ni Ubora Mura.Yaani mamelod aliye nusu fainal na anaelekea fainali ya klabu bingwa Afrika apitwe na pyramid waliotolewa kwenye kombe la luzaz na ruvu shooting ya sauzi afrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajitoa Nati, Na mimi ninairudisha!Leo ndio mnapata akili za kuhojji juu ya hizi takwimu za IFFHS kwavile tu Yanga ipo juu ya Simba na pia ipo nafasi za juu ndio mnashangaa lakini kipindi kile Simba inawekwa mlikuwa mnakuja kupongezana na hakuna aliyehoji kuwa kivipi. Endeleeni kupokea ranking, kama walivyotumia vigezo vya kuipandisha Simba ndivyo wanavyotumia kuipandisha Yanga hadi nafasi ya tisa. Kutesa kwa zamuView attachment 2622445View attachment 2622447View attachment 2622448
Uzuri tupo hapaSio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
Umesahau kuwa ni Bingwa nchini mwao?ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
Akikupa jibu sahihi nishtuweUmeamua kubishana na wanazuoni walio andaa tafiti.
Basi zilete zako za huko Mpelangwasi.[emoji23][emoji23]
Yaani timu iliyoko shirikisho iishinda iliyoko klabu bingwa
Mhaa
Mnawaita wenzetu loosers wakati nyie mnashiriki mashindano ya viti maalum, ambayo timu zilichaguliwa mezani wakizingatia vigezo vya kijinsia na ukubwa wa hips.Sio inayojiona, ila inayoonwa na CAF. subiri Super League itakapoanza ndipo utazijua timu ambazo CAF inaziona kuwa ni kubwa, na ambazo zinajiona zenyewe kuwa ni kubwa 😁😁 😁
CAF SUPER LEAGUE haina makundi? 🤣🤣🤣Umeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Timu gani ipo club bingwa?Yaani timu iliyoko shirikisho iishinda iliyoko klabu bingwa
Mhaa
CAF SUPER LEAGUESimba mnashiriki yapi kati ya hayo?