Sote tumefungwa mkuu usijaribu kupunguza maumivu yenu kwenye kipigo chetu🤣🤣Hii timu au genge la wahuni pale jangwani?
Mpira mwingi wanaucheza mitandaoni ila uwanjani wana danki danki tu
Hii timu au genge la wahuni pale jangwani?
Mpira mwingi wanaucheza mitandaoni ila uwanjani wana danki danki tu
TAIFA AKUFAI
VIONGOZVIONGOZI WANALALAMIKIWA KILA KONA KUKUBALI DILI LA MZUNGU KUJA YANGA NA KUMWONDOA MKWASA
YANGU MACHO
KAGERA ANAONGOZA MBILI
Sote tumefungwa mkuu usijaribu kupunguza maumivu yenu kwenye kipigo chetu[emoji1787][emoji1787]
Ha ha haaa! Kwamba hata wakicheza na timu ya shule ya Secondary Tabora girls wanalowekwa mabao tu!Yanga hata wakiingia kwenye mashindano ya umitashunta watapigika tu
Teh tehYanga hata wakiingia kwenye mashindano ya umitashunta watapigika tu
Hata sisi humu tukiungana tukatimia 11 mbona freshi tuHa ha haaa! Kwamba hata wakicheza na timu ya shule ya Secondary Tabora girls wanalowekwa mabao tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakileta umlenda mlenda wa leo Azam atajipigiaNgoja tuone mechi ya jumamosi itakuwaje!lakin leo timu yangu haikuwa bora kwa kweli,bora yikpe kabadirisha kidogo mchezo
Mimi nimekipokea kipigo kwanini uumie wewe😀😀😀
Kucheka kupokezana bwana [emoji1787][emoji1787]