Yanga SC yapokea kichapo cha mbwa koko kutoka Kagera Sugar

Yanga SC yapokea kichapo cha mbwa koko kutoka Kagera Sugar

Ngoja tuone mechi ya jumamosi itakuwaje!lakin leo timu yangu haikuwa bora kwa kweli,bora yikpe kabadirisha kidogo mchezo
 
Hii timu au genge la wahuni pale jangwani?

Mpira mwingi wanaucheza mitandaoni ila uwanjani wana danki danki tu
 
Hii timu au genge la wahuni pale jangwani?

Mpira mwingi wanaucheza mitandaoni ila uwanjani wana danki danki tu
Sote tumefungwa mkuu usijaribu kupunguza maumivu yenu kwenye kipigo chetu🤣🤣
 
Sio wamefungwa tu Hapana..

Wamefungwa na wameonewa sana halafu wakiwa kwao sasa [emoji23] [emoji23] ..

Auntie Nugaz sijui Atasema kombe LA nini hili [emoji23] [emoji23]
IMG_20200115_182116_406.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom