kumekucha
Heri ya hivyoSasa Yanga itapoteana
Niliplan kwenda kukaulizia leo lakini ratiba imenibana.Mama kamdundo ulikapata?[emoji23]
Tunakusubiri 😀😀Ngoja kwanza nimalize kula
Mtoto akinyea kiganja hukikatiTaarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la UfundiView attachment 1719639
Fake news
Unataka kujua sababu ya barua ya ghafla ni nini?Fake news
Yanga saivi ndio mmekuja kugundua kwamba tatizo sio marefa tatizo ni nyinyi wenyewe