Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Pole sana mtaniSo disappointed...
Ni kama maamuzi ya kukurupuka hivi ukiwa na hasira, Kwa upande wangu naona "Benchi la ufundi" limeangushiwa jumba bovu, Kuna migogoro ndani ya uongozi wa juu kabisa na kwa baadhi ya wachezaji
Anyways ndio Yanga yetu acha ituue tu
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Kaze aondoke na watoto wa dada yake asiwaache.. SAIDO, FISTON.Yanga wanataka kuwaaminisha Mashabiki wao na Wanachama kuwa wana wachezaji wa level za juu Timu imesajili wachezaji wa Mafungu ya nyanya mlitaka KAZE amfundishe nini mchezaji kama Nchimbi tangu aanze kucheza mpira timu zote alizopita hata Goli 15 hajawahi kufunga unataka afunge leo yupo Yanga ?? Sarpong, Yacouba, Fiston, Farid .........Mwambieni SENZO Awape ubingwa sasa na yule Engineer aliyewaaminisha ubingwa kama vile anacheza mpira yeye.
Hakuna Team Hapo Hilo Ni Genge La Wahuni Wachache!!Utopolo wamechanganyikiwa.
Bundi Kalia!!!!Dua dua hahaa
Kazi ya kocha ni nini na hawa wachezaji unadhani kawapendekeza nani kusajiliwa Yanga, kama siyo kazeKwangu mimi sidhani kama tatizo la Yanya ni Kocha...
Kwa mtazamo wangu wanalizunguka tatizo, kikosi walichonacho sio Bora, ndio maana kila siku wanapata sababu mpya.
Mwanzo ilikua marefa sasa ni benchi la fundi, ngoja tusubiri lawama zingine zitamwendea Nani.
Hadi afisa usalama? Kosa lake nini?
Uto kila mwaka wakiona ligi inakaribia kwisha wanafukuza kocha ili viongozi wawe huru kusajili wachezaji wanaowataka, wakimaliza kusajili ndio wanaleta kocha, kocha akija anakuta wachezaji wapya kibao anakabidhiwa awafundishe. Mpira hauendi hivyo
Bora wamchukue Julio, anaweza wapa kombeNashauri kwa kipind hiki cha mpito wamrudishe Mkwasa huwa anapatia sana kipind km hiki