Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Kitenge kampigia debe yule Mrundi aliyekuwa Taifa Stars, hata jina silikumbuki.
 
Kwa utafiti mdogo nilioufanya, nilichogundua ni kwamba, Yanga wana tatizo moja la kisaikologia linaloitwa inferiority complex.

Wanafanya mambo kwa mihemko sana, na hii inatokana na ubora wa simba na matokeo mazuri wanayoyapata.
Huo sio utafiti bali ilikuwa ubabaishaji. Haikuwa sahihi sana kufukuza kocha na bench lake ila kwa muda mrefu kuna kitu kinakosekana kwenye timu na hata ushindi unakuwa ni wa shida. Yanga ina malengo makubwa ambayo hawezi kupatikana kwa style hii. Simba bado hajawa na mafanikio ya kuigwa, hatua yenyewe ya makundi hajavuka kwa hiyo hii siyo sababu hata kidogo.
 
Msola bado tu hajajiuzulu?

Hakuna taarifa zozote?
 
Viongozi wa yanga jamani, kwanini hamjisimamii.

Uamuzi huu ni kukurupuka..
siamini kabisa kuwa viongozi hawajui uhalisia tatzo uamuzi unatolewa kwa kuhofia reaction ya mashabiki..mbona
george lwandamina alivumiliwa yanga kwa misimu mitatu.
 
Najiuliza Sana hawa VIONGOZI hv akija kocha mwingne naye atatimuliwa hvhv wasijifiche kwenye mgongo wa makocha n WAKATI WA WAO KUJITATHMINI WAWAACHIE WENGINE WAONGOZE watajicicha nyuma ya bench la ufund had lini


Msolwa ...hana impact

Mwakalebela... Hana lolote

Nugaz . .anawajaza mashabiki ujinga

Eng Hersi.. achunguzwe nahis anakula 10%
 
Utopolo itakaa sawa itapokaa chini na kuacha kushindana na Simba then ijenge team yake bila kuhangaika na ubora wa Simba.
 
Gsm anarudia makosa ya manji ambaye alifikiri kurudisha goli tano nikusajili mastaa wa Simba, yeye alifikiri senzo nsio siri ya mafanikio ya Simba wakati aenzo aliikuta simba kwenye mafanikio tayari na pia kuondoka kwake kumeifanya Simba kumpata CEO bora zaidi yake.
Anatakiwa akiona simba wana mchezaji mzuri.au mtendaji mzuri anatakiwa atafute wazuri zaidi ya waliopo Simba ila akienda kuchukua Simba wao watatafuta wazuri zaidi ya waliokuwepo
 
Uyu mwanamuzi atafutwe kwa maslahi mapana ya Simba.
Tatufaa sana kwenye team ya hamasa.
 
pkovoojj lol l jpu l sj0polk gokjl I'llk
Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.

View attachment 1719639
lllljpkl okllk pplkkkl Ilpll hilko lipllk Ikkk'll klkll 9oplollllllllllllljklklolo lol khkkkkll lplmlullkkplkllplj k jj lpkhjjjjgpjklklu lookdjokb jkllloljl I'lllhl know k kkl llkpppllllpplllppkl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ