Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #61
Mwaka 2000 nimewapatia yanga huo ulikuwa ushindi wa mchongo ushindi wa TFF walipewa yanga na TFF.Za Yanga kuchukua ubingwa 2000? Si ndio rekodi zako.......
2000 bingwa alikuwa Mtibwa au huo mchongo uliusimamia ww.Mwaka 2000 nimewapatia yanga huo ulikuwa ushindi wa mchongo ushindi wa TFF walipewa yanga na TFF.
Mkuu hizi takwimu zako zina ukakasi yaani Mainland League alafu kuna KMKM na Malindi Pia hio Pamba ya Shinyanga ni ya wapi na kama ni ya Mwanza Uzee wangu huu haunikumbushi kama ilichukua Taji la Tanzania Bara labda Kombe linalojumuisha Bara na Visiwani ambalo walilichukua Mwaka unaofuata baada ya kufungwa na Malindi kwa Penalti kwa shutuma za kwamba Juma Muhima alikula Mlungula kusababisha Penaltynational (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Mzee mimi siongei kwa maneno naongea na record. Sasa leta data zako zangu hizi hapa2000 bingwa alikuwa Mtibwa au huo mchongo uliusimamia ww.
Ukileta orodha ya hicho unachokisema itakuwa bomba zaidi ya hapo ni kelele tu.Hizi takwimu ni za kubumba.
99 na 2000 alichukua mtibwa.
1986 alichukua Tukuyu stars.
Rudi class ukatunge data mpya.
Yanga ndio bingwa mara nyingi wa hili taifa tukufu, amechukua 27 titles of PL.
Mbona nishaleta, wewe si bado unakomaa na mchongo wako ulio usimamaia 2000 mpaka Yanga akachukua ubingwa.Halafu source yako Wikipedia ambayo hata mimi naweza kuedit.Mzee mimi siongei kwa maneno naongea na record. Sasa leta data zako zangu hizi hapa
Tanzanian Premier League
Tanzanian Premier League is the top division of the Football Association of Tanzania, it was created in 1965. The competition was simply known as national league and later First Division Soccer League until the name Premier league was adopted in 1997. Today the league consists of 12 teams...football.fandom.com
Mzee mimi nakuletea source za kila aina au unadhani mimi ni ndezi kama wewe.Mbona nishaleta, wewe si bado unakomaa na mchongo wako ulio usimamaia 2000 mpaka Yanga akachukua ubingwa.Halafu source yako Wikipedia ambayo hata mimi naweza kuedit.
Mkuu vitu vingine utumiege na akili zako sio kuokoteza tu source halafu hata kushirikisha ubongo wako hakuna. KMKM wanaingia vipi kwenye makombe ya ligi kuu ya Tanzania bara?Ukileta orodha ya hicho unachokisema itakuwa bomba zaidi ya hapo ni kelele tu.
Soma hapa uone
Tanzanian Premier League
Tanzanian Premier League is the top division of the Football Association of Tanzania, it was created in 1965. The competition was simply known as national league and later First Division Soccer League until the name Premier league was adopted in 1997. Today the league consists of 12 teams...football.fandom.com
Kama hujui historia ya league bora ukae kimya pasipo kuonesha upumbavu wako hapa. Ni bora utulie ujifunze Tanzania iketoka wapi siyo kukurupuka tu na usichokijua. Wewe umezaliwa 1990s utajulia wapi hata.Mkuu vitu vingine utumiege na akili zako sio kuokoteza tu source halafu hata kushirikisha ubongo wako hakuna. KMKM wanaingia vipi kwenye makombe ya ligi kuu ya Tanzania bara?
Source za kila aina ila sio valid sasa zina maana gani,tunza thread yako kabla ya mechi ya Simba na Yanga round ya pili nitalitafuta gazeti la Mwanaspoti au Champions niltalipiga picha then nitapost humu JF.Mzee mimi nakuletea source za kila aina au unadhani mimi ni ndezi kama wewe.
Hii hapa league yote ya 2000
Nimekuambia leta orodha yako hapa. Hiyo mwaka 2000 nimekuletea mpaka mechi zilizochezwa bado unang'ang'ana tu.Source za kila aina ila sio valid sasa zina maana gani,tunza thread yako kabla ya mechi ya Simba na Yanga round ya pili nitalitafuta gazeti la Mwanaspoti au Champions niltalipiga picha then nitapost humu JF.
Ila nina uhakika Yanga kachukua 27.
Kwenye orodha yako umeweka yanga kachukua ubingwa 1985, 1989 umeweka takwimu ya uongo. Nyie yanga waongo.Source za kila aina ila sio valid sasa zina maana gani,tunza thread yako kabla ya mechi ya Simba na Yanga round ya pili nitalitafuta gazeti la Mwanaspoti au Champions niltalipiga picha then nitapost humu JF.
Ila nina uhakika Yanga kachukua 27.
Mbona nimekuletea tena nimekutag mara mbili au unataka orodha mpya ya baraza ya mawaziri manake mpira ushakushindwa na rekodi zako zakuokota.Nimekuambia leta orodha yako hapa. Hiyo mwaka 2000 nimekuletea mpaka mechi zilizochezwa bado unang'ang'ana tu.
Mzee wadanganye utopolo wenzako.
Ila Yanga kuchukua ubingwa 2000 ni takwimu ya ukweli, wewe mwenyewe hajielewi.Kwenye orodha yako umeweka yanga kachukua ubingwa 1985, 1989 umeweka takwimu ya uongo. Nyie yanga waongo.
Tayari 1992,1993, 1985 1989 ni takwimu za uongo. Yanga hawakushinda miaka hiyo.
Mzee ni thread gani na comment no gapi!?Mbona nimekuletea tena nimekutag mara mbili au unataka orodha mpya ya baraza ya mawaziri manake mpira ushakushindwa na rekodi zako zakuokota.
Orodha ya uongo huu ya ushindi wa yanga kujumuisha miaka yaIla Yanga kuchukua ubingwa 2000 ni takwimu ya ukweli, wewe mwenyewe hajielewi.
50Mzee ni thread gani na comment no gapi!?
Sawa nimezaliwa 2000 kabisa. Wewe uliyezaliwa miaka hiyo nipe historia ya ligi kuu ya Tanzania ilikuwaje. Mimi nimekubali uwe mwalimu wangu haya niambie KMKM anaingia vipi kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.Kama hujui historia ya league bora ukae kimya pasipo kuonesha upumbavu wako hapa. Ni bora utulie ujifunze Tanzania iketoka wapi siyo kukurupuka tu na usichokijua. Wewe umezaliwa 1990s utajulia wapi hata.