Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Unanizidi kielimu how? Kama sources unayo itegemea ni wiki basi hata elimu yako ina walakini.
Ninakuzidi elimu ya kila aina. Ninakuzidi upeo wa kujua mambo ya dunia inavyoendelea. Kwa namna unavyoandika umri wako ni kati ya 22-32. Huwezi kuzidi hapo.

At least, appreciate kile nilichokufundisha kuhusu Wikipedia. Usishupaze shingo.

Wewe ni kijana wangu nitakuelimisha taratibu. Na hupaswi kukasirika maana ujinga siyo tusi. Ulikuwa mjinga kwa sasa umeelevuka. Hongera zako.
 
Elimu ya kila aina,zipi hizo?.. ,yaani ww unifundishe mimi na source yako Wikipedia, labda uwakusanye makinda wako hapo home kwako unao walisha ugali uwadanganye na hizo Wikipedia zako.
 
Elimu ya kila aina,zipi hizo?.. ,yaani ww unifundishe mimi na source yako Wikipedia, labda uwakusanye makinda wako hapo home kwako unao walisha ugali uwadanganye na hizo Wikipedia zako.
Mzee nilikuwa nakufundisha kuhusu Wikipedia. Halafu fuatilia comments zangu zote onesha ipi nimeweka source ya Wikipedia.

Unatakiwa uwe na upeo wa kujua vitu kijana. Ukifundishwa kitu kubali kufundishika.

Back to topic. Leta hiyo evidence yako ya yanga kuchukua ubingwa 27.
 
Duu kwao unazikataa.....?
 
Kwani hii link ni jamii ya nini kama sio wikipedia au labda mtoto alichezea simu.
Screenshot_20220116-010637_Chrome.jpg
 
Duu kwao unazikataa.....?
Turudi kwenye mada mzee. Nilikua nakufundisha kuhusu Wikipedia tu. Kama kuna post nimeweka niki refer Wikipedia iweke hapa.

By the way nimekutaka urudi kwenye mada. Leta reference inayoaminika kuonesha yanga ilichukia mara 27.
 
kwani hii nini si jamii za Wikipedia......
 
Kwani hii link ni jamii ya nini kama sio wikipedia au labda mtoto alichezea simu.
View attachment 2082914
Mbona unaleta upumbavu sasa. Hiyo link ni Wikipedia!? Ndio maana nimekutaka uende shule. Link niliyotupia hii hapa:-
 
Mbona unaleta upumbavu sasa. Hiyo link ni Wikipedia!? Ndio maana nimekutaka uende shule. Link niliyotupia hii hapa:-
Wewe ndiye mpumbavu hebu angalia hiyo site yako
Screenshot_20220116-011359_Chrome.jpg

Ina tofauti gani na wikipedia, yaani hapo sawasawa useme, Saidi Juma Mbonde na Kasim Juma Bonde baba yao tofauti wakati wote watoto wa mzee Mbonde.
 
Wewe ndiye mpumbavu hebu angalia hiyo site yako
View attachment 2082917
Ina tofauti gani na wikipedia, yaani hapo sawasawa useme, Saidi Juma Mbonde na Kasim Juma Bonde baba yao tofauti wakati wote watoto wa mzee Mbonde.
Ndio maana nimekueleza wewe bado ni ujinga huelewi elimu ya mitandao. Hapa unaongea na gwiji wa internet.
Unaelewa maana ya link!?
Unaelewa maana ya web directory!?

Nijibu maswali hayo kwa nikuone kama unajua. Root website hapo ni fandom.com
Halafu sub domain hapo inaitwa football. fandom.com

Sasa wewe mbumbumbu umeona directory imesomeka wiki, kwa upumvavu wako umekuja juu.

Sasa tengeneza Account uweze edit hizo taarifa.
Stupid.
 
Wewe ndiye mpumbavu hebu angalia hiyo site yako
View attachment 2082917
Ina tofauti gani na wikipedia, yaani hapo sawasawa useme, Saidi Juma Mbonde na Kasim Juma Bonde baba yao tofauti wakati wote watoto wa mzee Mbonde.
Hapa nakupiga doze na kukufundisha. We bado ndama sana kwangu.
Unajua maana ya web directory!?
 
Jamaa wameona kuvunja record ya Yanga ya 27 kwa 22 haiwezekani basi wameamua waifute kwa lazima.

Au ndo yale ya kuambiwa kocha kafundisha Madrid
 
Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?

RECORD HII HAPA

Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
Hii source yako inamakosa mengi sana inakosa credibility Mtibwa kachukua back to back miaka ya 2000 hayupo hapo , Pamba inaoneka ni ya Shinyanga kwa hizo errors nashawishika kusema hii source inapotosha
 
Mwaka 2000 nimewapatia yanga huo ulikuwa ushindi wa mchongo ushindi wa TFF walipewa yanga na TFF.
Wewe jamaa ni mbishi harafu huna unalo jua mwaka 2000 bingwa alikua Mtibwa huo mchongo unao sema ni upi
 
Back
Top Bottom