Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki.

Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala.

Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi ya kipigo kikali kila Channel mpaka Sinema Zetu. Kwa hiyo unashindwa ukimbilie wapi?

Wito wangu kwa Yanga itoe Tamko kuhusu huku kusakamwa na Azam Tv.
 
Waache wafurahi na wao.
 
Sema wewe mchokozi tu huna lolote! 🤣🤣🤣🤣
 
😅😅 Aloo!
 
Wacha waringe na TV yao nadhani nikwaajili yakuwatoa yanga mchezoni GSM Nae aanzishe TV ,ukiona vipi zima huna kazi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…