Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

HATA SIKU YA MECHI JUKWAA LA MASHABIKI WA SIMBA TUU NDO LILIKUWA LINAONESHWA,SISI YANGA TUMEONESHWA MWISHONI KABISA.
 
Yaani game ya tarehe 10 ndo nimejua maumivu wanayopitiaga wanasimba. Kila nikijaribu kujisahaulisha, inanijia chenga ya mpanzu mpaka kufunga goli la pili
 
Kosa liko wapi hapo Sasa.......tunaangalia jinsi mnavyorudia makosa yale yale😁😁
 
Kwa hiyo toka 5imba mshinde ile kauli yenu ya kwamba mpira wa miguu hauna mvuto baada ya yale ya oktoba naniliu imeondoka. Si ndio.
Pia malalamiko yao kwa refaree Ahmed Arajiga kwamba anaipendelea Yanga yameisha ghafla πŸ˜„
 
Na hata yule Mzee Mangungu wanaye muangushiaga jumba bovu safari hii wanamuona ni kiongozi boora kabisa.

Hana baya. πŸ˜…
Safari hii watasema hajauza mechi. Mo anaidai timu, Tajiri anatoa pea siyo mbahili, katiba yao ya zamani haina shida hawaitaki mpya..πŸ˜ƒ
 
Yanga wenye akili ni wawili tu
Afu mzee mpili kafa na mikoba yake mtapigika vibaya sana
 
Mwasibu aziz ki yupo nakukumbusha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…